DAR: Masogange ahukumiwa miaka 3 Jela au faini Mil 1.5 kwa kosa la Dawa za kulevya! Aachiwa huru baada ya kulipa faini

Hapo si inalipwa fain ....biashara inaisha ...lakin makonda unazengua ...ujuwe ..maana Waliokwenda mahakamani alikuweno na Tid Pamoja na petit money .sasa awo uliwaachiaje ...yaani mahakama za Tanzania nivichekesho tu ...yaani mtu kanyimwa papa sasa hasira anazimalizia kwa mtu mwingine.
 
Inaingia akilini kweli? Miaka 3 au fine ya sh mil1.5? Hivi ni mil15 au mil1.5?
 
Attachments

  • Screenshot_20180403-120428.jpg
    Screenshot_20180403-120428.jpg
    51.4 KB · Views: 77
Selikar ya kipuuz sana hii kwanini majizo hajafungwa vp kuhusu tid na chid benz vp kuhusu mdogo wake na ester bulaya kwanini hao hawajafungwa mumehangaika na video queen

Masikin wa mungu mdada wa watu hadi namuonea huruma

Pole agnes
Atàlipa faini kwisha kazi, na maisha yataendelea
 
Mkuu ulitaka apigwe faini milioni 15 mkuu (mbona nyingi), lengo la hukumu ni kumfanya mtu yule alietenda kosa kujutia lile kosa lakini pia kuonyesha jamii kwamba kitendo alichokifanya sio kizuri (kimsingi anabaki na kovu maishani mwake lakini pia kwa upande mwingine ataokoa jamii yake ya karibu kwa kuwakataza kufanya makosa aliyopitia yeye)

Mfano unampiga mtu faini milion 200 wakati hata milioni moja hajawahi shika ili iweje kwa mfano
 
Adahabu ya uhalifu huwa haoangalio uwezo wa mtu. Kwa hiyo unataka alipe nafuu arudi tena kuhalifu uraiani? Na wengine si wataona lumbe ni rahisi hivyo....
 
Hapo si inalipwa fain ....biashara inaisha ...lakin makonda unazengua ...ujuwe ..maana Waliokwenda mahakamani alikuweno na Tid Pamoja na petit money .sasa awo uliwaachiaje ...yaani mahakama za Tanzania nivichekesho tu ...yaani mtu kanyimwa papa sasa hasira anazimalizia kwa mtu mwingine.
Simunasemaga hawezi shughuli leo kawaje shababi mpaka anyimwe
 
Back
Top Bottom