DAR: Mahujaji 100 waachwa solemba Airport, Sheikh Mkuu aiwakia kampuni iliyowatapeli

Tatizo waumini wengine hawaikubali BAKWATA mpaka yanapo wakuta. Kwa sasa BAKWATA haina tena mamlaka kamili kwa waumini wa kiislamu.
Sijui lini hii bakwata viongozi wake watakuwa wanachaguliwa na waislam wenyewe.

Tatizo waumini wengine hawaikubali BAKWATA mpaka yanapo wakuta. Kwa sasa BAKWATA haina tena mamlaka kamili kwa waumini wa kiislamu.

Sijui lini hii bakwata itakuwa viongozi wake wanachaguliwa na

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa acha kabisa.. hata mtu akiwa anahesabu pesa zake lazima utazitamani tu hata kama buku... mbona gharama zimepanda hivyo last time I cheked walikuwa wanalipa kama 4.5M now imefika hadi 10M duh.. Saudi wanafaidika sana.. kwanini wasiende Israel bei ni less ya 4M tena unalala hotelini na sio kwenye Tent si Msikiti wa Al Qasa nao ni sehemu ya hija
Kule hakuna hija, kule ni matembezi (study tour). Hija ni ibada na ina program zake (schedule) na ndo maana hao wanalalamika wamechelewa.
 
Taasisi zingine zinaudhalilisha uislam sana, tukio kama hili liliwakumba babu zangu 2009, walitapeliwa, mmoja alijitahidi akaenda mwaka unaofatia, mwingine ilishindikana kabisa, hadi mwaka jana mungu kamchukua.

Inasikitisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Miongoni Mwa waliokumbwa na Mkasa huo ni Baba Mzazi wa Mama Salma , Sheikh Rasheed ( Mkwe wa Amiri Jeshi wa Wakati huo). Palichimbika bila ya Jembe baada ya Tukio hilo
 
Sio Mara ya kwanza kwa mahujaji kutapeliwa, na hao bakwata hawana la maana wanalolifanya kwani haiwezekani haya mambo yanajiridia rudia na wameshindwa kutumia akili na kutafuta njia nzuri ya kuwapatia usafiri wa uhakika.
Au nao wamo
Jukumu lao kutangaza IDD na mwandamo wa mwezi,mambo ya msingi na yenye tija kwa waumini na jamii kiujumla hawana muda nayo! Hadi sasa mufti keshatangaza IDD September mosi.Teh teh teh
 
Kule huendi kutizama, unaenda kufanya ibada (matendo). Ibada nzima ni matendo, kama vile kutufu, kuswali nk.
Ile ni biashara tu ndio maana gharama kubwa sawa na biashara zingine za dini kina Dr.Naik n.k kama pepo iwe umeenda au haujaenda imani na matendo
 
Ile ni biashara tu ndio maana gharama kubwa sawa na biashara zingine za dini kina Dr.Naik n.k kama pepo iwe umeenda au haujaenda imani na matendo
Kama vile mwili bila roho umekufa, basi imani bila matendo nayo imekufa (Biblia).
Ni kweli kwenye Hija tunafanya biashara na Mwenyezi Mungu, maana hiyo nguzo ya Uislam.
 
Back
Top Bottom