Mimi sijui muda wa kuondoka ila Kuna mabasi kama tahmeed, tashriff, nacharo, raqeeb, moud, msawa I think, Simba mtoto(hamna basi humu labda kama wana mpya hao Simba) nk, nafikiri itakuwa sijakosea...panda tahmeed, nilipandaga kitambo ila Bado naskia yapo fresh na yameboreka zaid, tahmeed zile za kwenda Nairobi.