Dar kupata mkuu wa mkoa mpya?

Dar kupata mkuu wa mkoa mpya?

Mi naona tusiwe na post hiyo tena kwani hakuna tofauti kiutendaji hata anapokuwepo ..
 
vyanzo visivyo rasmi vimeripoti kuwa JK anajiandaa kumpunguzia machungu dada yetu batilda
buriani kuwa preimier wa dar es salaam! wanawake kweli wanaweza. thanks

Anaandaliwa kupewa nafasi ya kuwa balozi wa tz ughaibuni
 
Huyo batilda buriani jamani mi sioni kazi aliyofanya sema kikwete nae too much kiupaumbele kwa madem wengine hata bongo za zimeganda but anawaweka tu cjui walikuwa madem zake zamani ananikera huyo mkwere
 
Kama wananchi wamemkataa yeye JK anajipendekeza nini kwake?
 
vyanzo visivyo rasmi vimeripoti kuwa JK anajiandaa kumpunguzia machungu dada yetu batilda
buriani kuwa preimier wa dar es salaam! wanawake kweli wanaweza. thanks

Wapi bana anampa jamaa yake Masha ati!
 
Salma Kikwete, na ili kulinda maridhiano na CUF, Profesa Lipumba atakuwa Katibu Mkuu wa CCM
 
mu meanza wakristo mnamambo haya WADINI wakubwa sasa mumefurahi baraza limejaa MAKAFIRI
 
kikwete mdini namba moja, huwezi kuona udini bila kujua udini na kuupenda
 
Back
Top Bottom