Dar kuiaga foleni rasmi

Mkuu dunia ikisafunguka,naomba nikulipie flight ticket na hoteli angalau ufike na kutembea hapo Nairobi atleast akili ikufunguke
Mkuu, ka Nairobi ni sawa tu na wilaya moja ya Kinondoni kati ya wilaya tano za jiji la Dar.
Wacha kufananisha Dasilama na vitu vya kijinga!

Just imagine, miundombinu yote na maghorofa yote na majumba makali yote ya Ilala, Temeke, Kigamboni na Ubungo uweke kwenye wilaya moja tu ya Kinondoni.. Dar si itakuwa zaidi ya Dubai?
 
Mkuu upo serious au unatania tu?
Jaribu kutumia Google yako vizuri harafu urudi kucomment
 
Kazi nzuri japo nilichotegemea sio ninachokiona..sio mbaya!
Nadhani that s the best flayover kwa nafasi iliyopo pale ubungo, magari yanayitoka say kimara kwenda buguruni, buguruni kwenda mjini, mwenge kwenda kimara na mjini kwenda mwenge yatapita chini kwenye round about na yale yanayonyoosha yatapita juu.
Ni ramani rahisi kuliko ile ya mwanzo but it s the best ukilinganisha na uchafu wa tazara

Stay home, stay safe
Corona kills
 
Kweli kabisa!
 
Serious Wala sitanii kaka,mke wangu pia alikuwa na mawazo Kama yako,siku moja nikiwa Nairobi nikamwambia mama njoo,from that day alikili kuwa ni kweli ccm imetuchelewesha sana
Mkuu kwa hiyo mkeo ana mawazo kama ya bia yetu?!

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…