Mkuu dunia ikishafunguka,naomba nikulipie flight ticket na hoteli angalau ufike na kutembea hapo Nairobi tu atleast akili ikufungukeDar kuwa km dubai hii safi
Hii ndio interchange mliyokuwa mnaonyeshwa kwenye kideo?Magufuli tutamkumbuka sana... abarikiwe sana na sana
Mbona unaandika kama wasifu wa marehemuMagufuli tutamkumbuka sana... abarikiwe sana na sana
Mkuu dunia ikisafunguka,naomba nikulipie flight ticket na hoteli angalau ufike na kutembea hapo Nairobi atleast akili ikufunguke
Serious Wala sitanii kaka,mke wangu pia alikuwa na mawazo Kama yako,siku moja nikiwa Nairobi nikamwambia mama njoo,from that day alikili kuwa ni kweli ccm imetuchelewesha sanaNitafurahi sana Mkuu
Nishafika huko..wakati unatokea Kitengela nakunja kushoto kuitafuta jiji lenyewe Nairobi ile barabara mnaita sijui thika/Mombasa highway aisee kuna interchange za hatari..Serious Wala sitanii kaka,mke wangu pia alikuwa na mawazo Kama yako,siku moja nikiwa Nairobi nikamwambia mama njoo,from that day alikili kuwa ni kweli ccm imetuchelewesha sana
Inaitwa Thika road mkuu.nadhani ndo barabara bora Africa masharikiNishafika huko..wakati unatokea Kitengela nakunja kulia kuitafuta jiji lenyewe Nairobi ile barabara mnaita sijui thika/Mombasa highway aisee kuna interchange za hatari..