Hawana lolote, wanafunga leo kesho yake jioni wanasaga kama kawa, huku mabibo walikifunga kiwanda cha wanasaga kokoto linatimka vumbi sii kawaida, jioni yake kazi kama kawa, halafu kuna cha sabuni jirani yake ukilaza gari sehemu ya wazi asubuhi ukipeleka kuosha wala hawatumii sabuni