Dar-Kigoma nauli sh ngapi kwa sasa?

Dar-Kigoma nauli sh ngapi kwa sasa?

Huna sana haja ya kuwaza kuhusu nauli ya kutoka Dar hadi Kigoma Mkuu bali kama hapo ulipo kuna Waha ( wana Kigoma ) wengi mtafute tu mmoja wapo nenda nae pembeni muelezee tu hiyo nia yako ya kusafiri kwenda huko Kwao na atakusafirisha fasta tu kwa Ndumba / Ushirikina na hadi Kukurudisha Dar salama kwa gharama iliyo sawa na bure kabisa.
Hapa ndo kichaa cha bangi kinapokuwa active, hivi wakurya mtaacha lini bangi? ......

(ni utani mtani wangu mzee wa gitaa la dalii kimoko)
 
kyalankota kwa mbwembwe zako humu nadhani ni vyema ukapande daladala pale JNIA inaitwa Precision air
 
Hapa ndo kichaa cha bangi kinapokuwa active, hivi wakurya mtaacha lini bangi? ......

(ni utani mtani wangu mzee wa gitaa la dalii kimoko)

Wala usijali Mkuu tena hakuna Mtu anayependa Utani kokote pale iwe humu Jamvini au katika Mitaa au Jamii kama Mimi. Tena hasa nikiona uzi wowote unaowagusa Watani zangu wakubwa Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi huwa siwaachi na nitawapiga tu madongo yangu.

Hizo bangi / bange zetu za Mkoani Mara ( Musoma ) ndizo ambazo huwafanya hadi Madada zenu wa kutoka Kagera, Kigoma, Singinda na Kondoa Dodoma watupende na watung'ang'anie japo huwa tunawapiga sana tu.
 
Kwa hiyo nyinyi ni kiburudisho cha dada zetu? basi sawa wapeni raha

na ujue dada zako ni kiburudisho chetu, kwa hiyo nyie ni kabila ya kiburudisho
 
nauli kwa basi ni 60000/= kupitia Dar_Tabora_Kigoma gari zilizopo ni Saratoga,Adventure na Ota high class,Kutoka dar mnaweza kutumia siku moja ila mtafika kati ya saa sita au saa saba usiku au mnaweza kulala njiani kisha kigoma mkafika saa tatu au saa nne asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Linalofika Kasulu ni lipi? Nauli sh ngapi hadi Kasulu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom