Dar, Kigamboni: Khamis Luongo amuua mke wake Naomi Orest Marijani na kumchoma moto. Majivu akafanya mbolea ya Mgomba

Kama nakuona vile aiseee kuwa anonymous raha sana
67060820_911479415864470_8519694837851414144_n.jpg

We fala nn we unajua kazi yangu?
We unadhani siku ukiijua unaweza hata usiniquote mpumbavu wewe.
Yaani utishie watu hapa. Hizi ID zisikuchanganye.
 
Mpenzi Bila ya wivu hakuna mpenzi hapo, Japo inasikitisha maamuzi Haya n magumu mno kufanya Kama hivo ,ila utakuta mshikaji hapo kashalalamika Sana juu ya mkewe kuhusu tabia tabia flani za usaliti na hakuwa akizielewa ndo shida sasa Kama hii huweza kutokea
 
Back
Top Bottom