Dar, Kigamboni: Khamis Luongo amuua mke wake Naomi Orest Marijani na kumchoma moto. Majivu akafanya mbolea ya Mgomba

Nimesikitika sana kuona idadi ya wanaume wanaosupport hii kwa kumlaumu marehemu mkorofi. Nijuavyo mimi sisi ndo hatuwezagi kuwa na mtu mmoja maisha yote... wanawake mtanisamehe... mkiwa na mimba mkikorofisha kidogo lazima akili ihame kidogo ila inarudi... ila hamna mwanamke ambae mme wake katelezaa anadiriki kumuuaa. Wewe umechepuka mara ngapi. Umetongoza wangapi kwa simu hadi mtandaoni? Nani kakuua wewe sababu umetongoza au tongozwa ..wengine hadi message zikikutwa mnadiriki kusema mama nanilii anamind mambo madogo madogo kama message. Yet sisi tupo hapa tunasema kauliwa kinyama sababu ya kiburi...sababu ya kuchepuka..na hivyo navyo tuna-guesss maana ndugu hawajasema wala taarifa rasmi haijasema hivo. Nadhani hata polisi hakudhani hivo. Ni wanawake wachache ambao ana kipato chake ambae anaeza kukuachia mtoto wake. Hapo ndo cha kwaza mtuhumiwa alipokosea... pili ni ndugu yeyote kutojua kinachoendelea hamna mwanamke ambaye anafanya maamuzi kuhusu mahusiano ambae hata dada yake au mama yake hajui ...ingekuwa wana mtafarruku ndugu wangesema walikuwa na mgogoro huu mbona vifo vingine wanasema. Nawasihi ninyi mnaomnyoosheeni marehemu kidole. ACHA. Mungu ni mkali sana ndugu zangu. Usitake akuonyeshe inavokuaga ili usinyoshe vidole kwa wengine. Tukanye kwa nguvu zote kitendo hichi. Kama humuelewi mwenza wako na anakuumiza muacheeeee. Na watoto wa kike kama mwenza anakunyanyasa ondokaa. Usiangalie nyuma.. baba zenu watawapokea. Mimi kama baba wa mtoto mmoja wa kike niko radhi nikupokee na mabegi yako kuliko ndani ya sanduku. Msiogope kuachika au kuacha. Weee sio wa kwanza na hautakuwa wa mwisho na haimaanishi kwamba una kasoro..hawa ambao wako.hapa wanasema atakuwa alikuwa ana jeuri ana alikuwa na mdomo...sikieni...hamna mwanamke jeuri kwa mwanaume anaetimizia haja zake zote. Kwahiyo lawama hizi tuache. Kemea hichia kitendo..msiwatishe wanawake kwamba mdomo.na jeuri zitawafanya wauliwe...wewe nani kakuua kwa kutelekeza watoto wako? Na wanawake waliotelekezewa watoto wapo wengi nasikia millioni naa..umesikia hasira imewafanya waende kuua hao wenza wao .Hebu tuwe serious kidogo aise
Duu kitabu
 
Hawa viumbe wanaoitwa wanawake ukiwa na roho nyepesi unaweza fia jela,
Miaka kumi iliyopita nilikuwa na mchumba from kigoma huko mahusiano yetu yalianza toka anasoma chuo,baada ya kumaliza chuo alipangiwa kazi mkoa tofauti nanilipo. Baada ya kufanya kazi kama mwaka mmoja niliamua kumtambulisha nyumbani kwetu na alikaa nyumbani kama siku tatu hivi.
Alivyorudi kazini kwake siku hiyohiyo jioni yake napigiwa simu na mwanaume kutoka anakofanyia kazi kwamba huyo niliyemtambulisha kwetu ni mchumba wake tukio hilo lilinifanya nikae zaidi ya miaka 10 bila kufikiria kuoa tena,hivyo huyo jamaa aliyefanya kitendo hicho miye nareserve comment siwezi kumujudge
Ukiwa kwene mahusiano mazuri yaliyoshamiri binadamu hapendi na shetani anawatumia hasa kuvunja hayo mahusiano unatakiwa kuwa mwerevu.Je alimuoa huyo jamaa
 
Nimesikitika sana kuona idadi ya wanaume wanaosupport hii kwa kumlaumu marehemu mkorofi.

Nijuavyo mimi sisi ndo hatuwezagi kuwa na mtu mmoja maisha yote... wanawake mtanisamehe... mkiwa na mimba mkikorofisha kidogo lazima akili ihame kidogo ila inarudi... ila hamna mwanamke ambae mme wake katelezaa anadiriki kumuuaa. Wewe umechepuka mara ngapi. Umetongoza wangapi kwa simu hadi mtandaoni? Nani kakuua wewe sababu umetongoza au tongozwa ..wengine hadi message zikikutwa mnadiriki kusema mama nanilii anamind mambo madogo madogo kama message.

Yet sisi tupo hapa tunasema kauliwa kinyama sababu ya kiburi...sababu ya kuchepuka..na hivyo navyo tuna-guesss maana ndugu hawajasema wala taarifa rasmi haijasema hivo. Nadhani hata polisi hakudhani hivo.

Ni wanawake wachache ambao ana kipato chake ambae anaeza kukuachia mtoto wake. Hapo ndo cha kwaza mtuhumiwa alipokosea... pili ni ndugu yeyote kutojua kinachoendelea hamna mwanamke ambaye anafanya maamuzi kuhusu mahusiano ambae hata dada yake au mama yake hajui ...ingekuwa wana mtafarruku ndugu wangesema walikuwa na mgogoro huu mbona vifo vingine wanasema.

Nawasihi ninyi mnaomnyoosheeni marehemu kidole. ACHA. Mungu ni mkali sana ndugu zangu. Usitake akuonyeshe inavokuaga ili usinyoshe vidole kwa wengine. Tukanye kwa nguvu zote kitendo hichi. Kama humuelewi mwenza wako na anakuumiza muacheeeee.

Na watoto wa kike kama mwenza anakunyanyasa ondokaa. Usiangalie nyuma.. baba zenu watawapokea. Mimi kama baba wa mtoto mmoja wa kike niko radhi nikupokee na mabegi yako kuliko ndani ya sanduku. Msiogope kuachika au kuacha. Weee sio wa kwanza na hautakuwa wa mwisho na haimaanishi kwamba una kasoro..hawa ambao wako.hapa wanasema atakuwa alikuwa ana jeuri ana alikuwa na mdomo...sikieni...hamna mwanamke jeuri kwa mwanaume anaetimizia haja zake zote. Kwahiyo lawama hizi tuache.

Kemea hiki kitendo..msiwatishe wanawake kwamba mdomo.na jeuri zitawafanya wauliwe...wewe nani kakuua kwa kutelekeza watoto wako? Na wanawake waliotelekezewa watoto wapo wengi nasikia millioni naa..umesikia hasira imewafanya waende kuua hao wenza wao .Hebu tuwe serious kidogo aise
Endelea kuwapa kiburi. Alafu MWANAUME NA MWANAMKE NI SAWA NA GOGO NA CHUMA HAVIFANANI. USIJILINGANISHE NA MKEO. HATA MUNGU ANALAANI HIYO AKILI YAKO.
Kikubwa hapo heshima kwa pande zote ndio muhimu zaidi. Lakini pia ujue nani ametoa mwenzake kwao. Wanaume ni wavumilivu hasa kwenye siri. Husamehe siri nzito nzito za wake zao. Ila inapozidi huwa kero.
Itoshe kusema mungu amlaze mahali pema marehemu. Zaidi ya hapo ni siri kubwa baina yao. Pia lazima tujue huwezi mpenda mwanamke afu umuue bila sababu kubwa na iliyofifisha labisa matumini ya amani ya moyo.
 
Nimeangalia GEAH TV mwanaume alishaandaa shimo kabla marehemu
hajarudi kutoka kwa aunti yake mkuranga. Akakata na Rungu alilomuua nalo yani alikusudia kumuua kabisa....!!
 
NILIVUTWA UUME NA MKE WANGU _ Hamisi ameeleza polisi kuwa alisikia maumivu makali baada ya kuvutwa UUME wake na mkewe Naomi alipotoka bafuni kuoga, ndipo alipombamiza mpaka ukutani akafariki lkn hakudhamiria kuua, baada ya hapo aliagiza gunia mbili za mkaa kwa ajili ya kuchoma mwili ili kupoteza ushahidi, amesema kuwa wakiwa chumbani alivutwa uume na mkewe baada ya mke huyo kusoma sms za Mwanamke mwingine kwenye simu yake wakati akioga. _ Nilichimba shimo kwenye banda la kuku na kuweka mwili huo kisha nikafunika kwa mkaa magunia mawili na kunyunyizia mafuta na kuwasha moto, baada ya mwili huo kuteketea nilichukuwa majivu na kuyaweka kwenye Kiroba na kwenda kwenye shamba langu nikachimba shimo nikayaweka humo kisha nikaotesha mgomba kwenye shimo hilo ili watu wasinishitukie. _ Baada ya hapo nikaenda kumtafuta nyumbani kwao kama amefika huko waliposema hajafika huko niliamua kutoa taarifa kituo cha polisi kuwa mke wangu ametoroka hayupo nyumbani na nikapewa RB ya kumtafuta.
 
Mwanaume rijali kulinda heshima na hadhi yako ni jambo la kwanza kabisa katika maisha. Na kuilinda heshima hadhi na urijali wako pale unapochezewa ni budi ufanye tukio la kipekee. Huyo jamaa kawakilisha wanaume wa kweli na wasiotaka utani. Mimi nimo katika kundi hilo! Fanya tukio hadi usiku ugeuke kuwa mchana
Wewe mjinga sana ningekuwa mke wako ningeshachukua mabegi yangu. You are a killer
 
Hawa viumbe wanaoitwa wanawake ukiwa na roho nyepesi unaweza fia jela,
Miaka kumi iliyopita nilikuwa na mchumba from kigoma huko mahusiano yetu yalianza toka anasoma chuo,baada ya kumaliza chuo alipangiwa kazi mkoa tofauti nanilipo. Baada ya kufanya kazi kama mwaka mmoja niliamua kumtambulisha nyumbani kwetu na alikaa nyumbani kama siku tatu hivi.
Alivyorudi kazini kwake siku hiyohiyo jioni yake napigiwa simu na mwanaume kutoka anakofanyia kazi kwamba huyo niliyemtambulisha kwetu ni mchumba wake tukio hilo lilinifanya nikae zaidi ya miaka 10 bila kufikiria kuoa tena,hivyo huyo jamaa aliyefanya kitendo hicho miye nareserve comment siwezi kumujudge
Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kufurahia au kutokemea hichi kitendo na matter what. You evil na ndio maana yalikutokea Labda Mungu alimtuma huyo Kaka ili amtoe huyo dada kwako maana roho yako duh
 
Kupenda huku hadi kupitiliza, jitu lina 36yrs unaanza kuwa na wivu nalo wakati kila siku siku hizi vinazaliwa vyuma vyenye shepu na viuno matata... Mnakubaliana tu yeye aendelee kuchepuka na wewe uendelee kila mtu kwa wakati wake huku mnalea watoto wenu burudani kabisa..
Hizi kauli kila siku mwazitumia ila hazijawahi kuleta mabadiliko, kila siku tunashuhudia yasiyotarajiwa.
 
TAARIFA YA UHAKIKA NI KWAMBA MWAMBA NI KITENGO.
hana presha na hata ujenzi unaendelea na mafundi anawalipa hela kama kawa.
 
Ninyi ndo mnaandikaga.
Kuna mmoja miaka 5ilopita aliniambia "tuchat tu sasa hivi lipo linakoroma" "halijui mapenzi likifika linaparamia linamwaga dk 2 lipo hoi "
Ninyi viumbe mkipenda nje huwa mnahama.

Mwingine mke wa mjeshi kaletewa zawadi na mmewe akanipa, jamaa alivoyotoka Dafur akakuta vitu alivoleta vipo vchache moto uliwaka. Kumbe nimepewa..
Tangu hapo mazoea na mke wa mtu no.
Nlimjibu hapana siwezi, mheshimu mmeo.
Mapenzi ni hisia. Usijeshangaa na wewe kama umeoa au una mpenzi ukakuta mke wako anayasema maneno kama haya au mabaya zaidi kwa mwanamme mwingine wa nje!
 
Ukiwa kwene mahusiano mazuri yaliyoshamiri binadamu hapendi na shetani anawatumia hasa kuvunja hayo mahusiano unatakiwa kuwa mwerevu.Je alimuoa huyo jamaa
Walishindana,huyo mwanamke huwa anajipendekeza kwangu lakini mimi nilishamdelete kichwani mwangu
 
Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kufurahia au kutokemea hichi kitendo na matter what. You evil na ndio maana yalikutokea Labda Mungu alimtuma huyo Kaka ili amtoe huyo dada kwako maana roho yako
Kosa langu ni lipi sasa
 
Nimesikitika sana kuona idadi ya wanaume wanaosupport hii kwa kumlaumu marehemu mkorofi.

Nijuavyo mimi sisi ndo hatuwezagi kuwa na mtu mmoja maisha yote... wanawake mtanisamehe... mkiwa na mimba mkikorofisha kidogo lazima akili ihame kidogo ila inarudi... ila hamna mwanamke ambae mme wake katelezaa anadiriki kumuuaa. Wewe umechepuka mara ngapi. Umetongoza wangapi kwa simu hadi mtandaoni? Nani kakuua wewe sababu umetongoza au tongozwa ..wengine hadi message zikikutwa mnadiriki kusema mama nanilii anamind mambo madogo madogo kama message.

Yet sisi tupo hapa tunasema kauliwa kinyama sababu ya kiburi...sababu ya kuchepuka..na hivyo navyo tuna-guesss maana ndugu hawajasema wala taarifa rasmi haijasema hivo. Nadhani hata polisi hakudhani hivo.

Ni wanawake wachache ambao ana kipato chake ambae anaeza kukuachia mtoto wake. Hapo ndo cha kwaza mtuhumiwa alipokosea... pili ni ndugu yeyote kutojua kinachoendelea hamna mwanamke ambaye anafanya maamuzi kuhusu mahusiano ambae hata dada yake au mama yake hajui ...ingekuwa wana mtafarruku ndugu wangesema walikuwa na mgogoro huu mbona vifo vingine wanasema.

Nawasihi ninyi mnaomnyoosheeni marehemu kidole. ACHA. Mungu ni mkali sana ndugu zangu. Usitake akuonyeshe inavokuaga ili usinyoshe vidole kwa wengine. Tukanye kwa nguvu zote kitendo hichi. Kama humuelewi mwenza wako na anakuumiza muacheeeee.

Na watoto wa kike kama mwenza anakunyanyasa ondokaa. Usiangalie nyuma.. baba zenu watawapokea. Mimi kama baba wa mtoto mmoja wa kike niko radhi nikupokee na mabegi yako kuliko ndani ya sanduku. Msiogope kuachika au kuacha. Weee sio wa kwanza na hautakuwa wa mwisho na haimaanishi kwamba una kasoro..hawa ambao wako.hapa wanasema atakuwa alikuwa ana jeuri ana alikuwa na mdomo...sikieni...hamna mwanamke jeuri kwa mwanaume anaetimizia haja zake zote. Kwahiyo lawama hizi tuache.

Kemea hiki kitendo..msiwatishe wanawake kwamba mdomo.na jeuri zitawafanya wauliwe...wewe nani kakuua kwa kutelekeza watoto wako? Na wanawake waliotelekezewa watoto wapo wengi nasikia millioni naa..umesikia hasira imewafanya waende kuua hao wenza wao .Hebu tuwe serious kidogo aise
Acha kumuingiza mungu kwenye vitu vya kijinga , tii ndoa , heshim mme wako .. Endeleeni tu kuleta siasa wakati hizi cases zinaongezeka siku hadi siku
 
Jamaa alitakiwa awe na busara. Halafu atambue kwamba kabila lenyewe nalo aliloowa mh... samahanini sana watani....
BINadamu ukishafikia hatua ya kuua si akili ya kawaida tena ni zaidi ya mnyama,busara hutumika nyakati za utulivu akili ikiwa sawasawa,sasa mtu kachanganyikiwa anapata wapi busara na busara na akiki ni kitu kimoja
 
NILIVUTWA UUME NA MKE WANGU _ Hamisi ameeleza polisi kuwa alisikia maumivu makali baada ya kuvutwa UUME wake na mkewe Naomi alipotoka bafuni kuoga, ndipo alipombamiza mpaka ukutani akafariki lkn hakudhamiria kuua, baada ya hapo aliagiza gunia mbili za mkaa kwa ajili ya kuchoma mwili ili kupoteza ushahidi, amesema kuwa wakiwa chumbani alivutwa uume na mkewe baada ya mke huyo kusoma sms za Mwanamke mwingine kwenye simu yake wakati akioga. _ Nilichimba shimo kwenye banda la kuku na kuweka mwili huo kisha nikafunika kwa mkaa magunia mawili na kunyunyizia mafuta na kuwasha moto, baada ya mwili huo kuteketea nilichukuwa majivu na kuyaweka kwenye Kiroba na kwenda kwenye shamba langu nikachimba shimo nikayaweka humo kisha nikaotesha mgomba kwenye shimo hilo ili watu wasinishitukie. _ Baada ya hapo nikaenda kumtafuta nyumbani kwao kama amefika huko waliposema hajafika huko niliamua kutoa taarifa kituo cha polisi kuwa mke wangu ametoroka hayupo nyumbani na nikapewa RB ya kumtafuta.
Hata mimi nimepokea ujumbe huo huo toka polisi. Wote waliomnyoshea kidole marehemu nadhani watanyamaza sasa. Tupinge ukatili huu kwa kila namna
 
Acha kumuingiza mungu kwenye vitu vya kijinga , tii ndoa , heshim mme wako .. Endeleeni tu kuleta siasa wakati hizi cases zinaongezeka siku hadi siku
Umesoma kisa kilichotoka ugomvi ulianza sababu mwanaume ndie aliechepuka. Mimi ni me.
 
Hata mimi nimepokea ujumbe huo huo toka polisi. Wote waliomnyoshea kidole marehemu nadhani watanyamaza sasa. Tupinge ukatili huu kwa kila namna
Mbona mm sijapoke na ninaishi Kigambonino hapa? Ww kama nani upate hiyo text? Polisi ni wapuuzi kiasi hiko. Yaan waseme jamaa alivutwa mapumbu na marehemu ndio sababu ya kuuliwa kwake? Wote tunavutwa mapumbu na hata kunyonywa so nani anaweza ua mtu kwa sababu hiyo?
Hivi huwa akili zetu tunaachaga wapi?
Nasisitiza ukweli wa ugomvi wao ni wao wenyewe na siri yao.
NDOA ZINA SIRI NYINGI SANA.
 
Mwanaume rijali kulinda heshima na hadhi yako ni jambo la kwanza kabisa katika maisha. Na kuilinda heshima hadhi na urijali wako pale unapochezewa ni budi ufanye tukio la kipekee. Huyo jamaa kawakilisha wanaume wa kweli na wasiotaka utani. Mimi nimo katika kundi hilo! Fanya tukio hadi usiku ugeuke kuwa mchana
Talaka inakuhusu.
 
Unajua watu hayajawafika haya..
Umekaa na mkeo ghafla sms inaingia.

"Mama Vicky uko kimya sana jana nilifurahi na show yako. Tigo mnato yaan hapa niko na boxer tu.
Huyo fala hajatoka nije unipe vitu vitamu?
Afu usisahau kumbambikia huyo fala mimba ili aihudumie."

HAPO KAMA MWANAUME UNAFANYAJE?
....halafu unakumbuka kuwa jana kutoka saa sita mchana hadi saa tatu usiku hakuwepo nyumbani aliaga kuwa anakwenda kwa shangazi yake Mbagala na nini mpo Sinza!!....Jweli ndugu, watu hayajawafika ndio maana wanasema kirahisi rahisi tu humu...
 
Back
Top Bottom