Dar, Kigamboni: Khamis Luongo amuua mke wake Naomi Orest Marijani na kumchoma moto. Majivu akafanya mbolea ya Mgomba

Hahahaa, mkuu Sam umeua hapo...kushinda hata tukio lenyewe! Ati hadi Usiku ugeuke mchana!!!
Mwanaume rijali kulinda heshima na hadhi yako ni jambo la kwanza kabisa katika maisha. Na kuilinda heshima hadhi na urijali wako pale unapochezewa ni budi ufanye tukio la kipekee. Huyo jamaa kawakilisha wanaume wa kweli na wasiotaka utani. Mimi nimo katika kundi hilo! Fanya tukio hadi usiku ugeuke kuwa mchana
 
Mbona mm sijapoke na ninaishi Kigambonino hapa? Ww kama nani upate hiyo text? Polisi ni wapuuzi kiasi hiko. Yaan waseme jamaa alivutwa mapumbu na marehemu ndio sababu ya kuuliwa kwake? Wote tunavutwa mapumbu na hata kunyonywa so nani anaweza ua mtu kwa sababu hiyo?
Hivi huwa akili zetu tunaachaga wapi?
Nasisitiza ukweli wa ugomvi wao ni wao wenyewe na siri yao.
NDOA ZINA SIRI NYINGI SANA.
Huwezi pokea sababu we ni kabwela na mimi hujui kazi yangu. Mkuu hebu kuwa na heshima kidogo. Kikuu hadithibtumeshaijua sasa wewe tuliza
 
Mkuu Wanaume kama nyie ilikuwa heri mama zenu wengetoa mimba. Mnadhani mama zenu walikuwa wakamilifu, je baba zenu waliwaua? Na Mungu kasema hivo mstari gani? Kama wewe kidume nenda kaue jambazi tukujue jamaa hatari...sio kuua mke... Na kweli usijifananishe na mwanamke maana akili yake ni mara 10 yako ndo mana ukikosea kuoa ndo umejimaliza mafanikio utasikia tbc kwa wenzako
.unadhani waliosema hio kitu walikuwa wajinga? Kuwa na heshima. Hata mama zetu na dada zetu wanavumilia mengi ya kwetu. Mengi mnoo hauna mamlaka kutoa uhai wa mtu yeyote na usije support huo ujinga. Mungu mkali sana bro...ataacha itokee kwa mtoto wako au dada yako ili uelewe hii kitu kuwa makini sana bro na maneno yako

Endelea kuwapa kiburi. Alafu MWANAUME NA MWANAMKE NI SAWA NA GOGO NA CHUMA HAVIFANANI. USIJILINGANISHE NA MKEO. HATA MUNGU ANALAANI HIYO AKILI YAKO.
Kikubwa hapo heshima kwa pande zote ndio muhimu zaidi. Lakini pia ujue nani ametoa mwenzake kwao. Wanaume ni wavumilivu hasa kwenye siri. Husamehe siri nzito nzito za wake zao. Ila inapozidi huwa kero.
Itoshe kusema mungu amlaze mahali pema marehemu. Zaidi ya hapo ni siri kubwa baina yao. Pia lazima tujue huwezi mpenda mwanamke afu umuue bila sababu kubwa na iliyofifisha labisa matumini ya amani ya moyo.
 
Huwezi pokea sababu we ni kabwela na mimi hujui kazi yangu. Mkuu hebu kuwa na heshima kidogo. Kikuu hadithibtumeshaijua sasa wewe tuliza
We fala nn we unajua kazi yangu?
We unadhani siku ukiijua unaweza hata usiniquote mpumbavu wewe.
Yaani utishie watu hapa. Hizi ID zisikuchanganye.
 
Kabisa, I agree with you. Mapenzi yakikushinda dawa yake ni kuacha, nothing else. Sasa hapo anayeumia ni mtoto, keshabaki yatima just like that. Haya matukio yamekuwa too much sasa, wanaume think they own a woman, kwamba atamdiscipline pale anapoona inafaa, that's totally wrong. Si mwanamke wala mwanaume anaweza kumdiscipline mwenzake, mwisho wake ndo huu, mauti na majuto!
ni sawa....ila shida inakuja unaachana vipi na hiyo habari?!..mwili unatamani, moyo unatamani,macho yanatamani...ukizingatia ulichagua mwenyewe kwa kutulia kabisa...lkn mtu kabadilika hakuelewi tena....je unaweza kumuacha for good ukaishi mwenyewe kwa usalama zaidi?!..
 
Kuna haja ya kuwepo elimu ama ushauri wa mahusiano

Yaweza anzishwa mahospitalini

Washauri rika.,watoa nasaha,wanasaikolojia

Watu wapate tiba ya akili
Na ushauri kuhusu ndoa/mahusiano
 
Wewe hujui hali halisi.... Huyo jamaa ni mshirikina na hii ilikua attempt ya pili. Ya kwanza alifungulia gas nyumba nzima halafu yeye akakaa nje halafu mke aliporudi home akamwambia kanichemshie maji alivyo ingia hewa ikawa nzito sana akatoka baadae jamaa akaomba msamaha kuwa alisahau.

Ishu ya jamaa ilikua majivu ya mkewe kwa ajili ya utajiri.

Usiongee kitu usichojua mkuu....
Social media zisikutoe ubinadamu....
Kaa nyuma ya keyboard halafu assume huyo ni dada yako.
Aiseeee
Mkuu ongezea nyama hapa jmnn🤦🏼‍♀️
 
Jitahidi Kuwa na heshima...
Ww ndio umeanza upuuzi eti mi sina hili wala lile (kabwela) we fala nn. Wewe nani hata upewe Ripoti na hao Polisi ambayo itatumika kama ushahidi mahakamani? Acha kujikweza ww ni fala tu.
Hapa unajibizana na mtu muhimu sana na ambaye anakufanya ww na mbwa wako muishi kwa raha na starehe.
 
Ww ndio umeanza upuuzi eti mi sina hili wala lile (kabwa) we fala nn. Wewe nani hata upewe Ripoti na hao Polisi ambayo itatumika kama ushahidi mahakamani? Acha kujikweza ww ni fala tu.
Hapa unajibizana na mtu muhimu sana na ambaye anakufanya ww na mbwa wako muishi kwa raha na starehe.
Tupe jina na cheo basi😂😂😂
 
Kwahiyo magu ndo una mdomo mchafu ivi 😂😂 2020 kura yangu huioni

Ww ndio umeanza upuuzi eti mi sina hili wala lile (kabwela) we fala nn. Wewe nani hata upewe Ripoti na hao Polisi ambayo itatumika kama ushahidi mahakamani? Acha kujikweza ww ni fala tu.
Hapa unajibizana na mtu muhimu sana na ambaye anakufanya ww na mbwa wako muishi kwa raha na starehe.
 
Back
Top Bottom