Dar kama Sodoma na Gomora

Dar kama Sodoma na Gomora

Pita pale nyuma wanapouza kitimoto sted yakwenda kwa ndumba utaona uchochoro pembeni mwa dar live utaniambia umeona nini

Pale ndo hawanaga guest wala lodge, ni mwendo wa kushika ukuta tu. Kama una imani nyepesi usiende kuhubiri wala kutoa mawaidha maeneo kama yale
 
Life its very hard when you get something per day must say thanks for God, have a lot af people can stay without eat till darkness come, when you get today don't forget tomorrow

Tulishasema hii lugha ya Malkia kama huna hakika nayo achana nayo! Ukitaka kuijua vzr kunywa mchuzi wa maji ya betri na nyigu wa kukaanga!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Peter Jaluo,
Mungu atusaidie.
Ila huwa natafakari Sodoma na Gomora huwa naona hatujafikia kiwango hicho. Jamani Sodoma na Gomora ilikuwa stage nyingine..
Angalia kipande hiki cha kisa cha Sodoma na Gomora:

"Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote. Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua. Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake. Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi. Tazama, ninao binti wawili ambao hawajajua mtu mume, nawasihi nitawatolea kwenu mkawafanyie vilivyo vyema machoni penu, ila watu hawa msiwatende neno, kwa kuwa wamekuja chini ya dari yangu Wakasema Ondoka hapa! Kisha wakanena, Mtu huyu mmoja amekuja kwetu kuketi hali ya ugeni; naye kumbe, anataka kuhukumu! Basi tutakutenda wewe vibaya kuliko hawa. Wakamsonga sana huyo mtu, huyo Lutu, wakakaribia wauvunje mlango."
Huu ni uasi ambao ulikuwa umepitiliza kipimo.
Anyway Mungu atusaidie.
Ufalme wa Mungu umekaribia. Tutubu na kumrudia Mungu!

panaitwa kimboka by night,bugurun hapo,tehtehteh,..shapita sana huko,ndo mmejua leo,hahahah,ila skugonga,..ni fahar ya machot tuu,kitu laivu bla chenga,yan njenje
 
Life its very hard when you get something per day must say thanks for God, have a lot af people can stay without eat till darkness come, when you get today don't forget tomorrow

Dah hii ndio div 5, nimepatwa kiu ya maji baada ya kusoma hiki kisms chote
 
Peter Jaluo,
Mungu atusaidie.
Ila huwa natafakari Sodoma na Gomora huwa naona hatujafikia kiwango hicho. Jamani Sodoma na Gomora ilikuwa stage nyingine..
Angalia kipande hiki cha kisa cha Sodoma na Gomora:

"Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote. Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua. Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake. Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi. Tazama, ninao binti wawili ambao hawajajua mtu mume, nawasihi nitawatolea kwenu mkawafanyie vilivyo vyema machoni penu, ila watu hawa msiwatende neno, kwa kuwa wamekuja chini ya dari yangu Wakasema Ondoka hapa! Kisha wakanena, Mtu huyu mmoja amekuja kwetu kuketi hali ya ugeni; naye kumbe, anataka kuhukumu! Basi tutakutenda wewe vibaya kuliko hawa. Wakamsonga sana huyo mtu, huyo Lutu, wakakaribia wauvunje mlango."
Huu ni uasi ambao ulikuwa umepitiliza kipimo.
Anyway Mungu atusaidie.
Ufalme wa Mungu umekaribia. Tutubu na kumrudia Mungu!

Mkuu balaa cku utakuja kuona ndo utajua dunia inakaribia mwisho
 
Jana ucku nilipita maeneo ya mbagala zakhemu aisee papucha inauzwa kama njugu.katika pitapita zangu nilistuka navutwa Shari.nakuniambia elfu 3000 tu.nikauliza yanini uduma yamwili UK wengine.wanasema uduma ya 071 elf 4000 serikali kama IPO wasaidie kuondoa aibu ile.kazi kwenu wana jf
mkuu wanasaidia sana kama sie madomo zege na tusiopenda majukumu aku..
 
...kwa dunia ilipofika sasa hata sodoma na gomora haifui dafu...
 
Peter Jaluo,
Mungu atusaidie.
Ila huwa natafakari Sodoma na Gomora huwa naona hatujafikia kiwango hicho. Jamani Sodoma na Gomora ilikuwa stage nyingine..
Angalia kipande hiki cha kisa cha Sodoma na Gomora:

"Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote. Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua. Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake. Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi. Tazama, ninao binti wawili ambao hawajajua mtu mume, nawasihi nitawatolea kwenu mkawafanyie vilivyo vyema machoni penu, ila watu hawa msiwatende neno, kwa kuwa wamekuja chini ya dari yangu Wakasema Ondoka hapa! Kisha wakanena, Mtu huyu mmoja amekuja kwetu kuketi hali ya ugeni; naye kumbe, anataka kuhukumu! Basi tutakutenda wewe vibaya kuliko hawa. Wakamsonga sana huyo mtu, huyo Lutu, wakakaribia wauvunje mlango."
Huu ni uasi ambao ulikuwa umepitiliza kipimo.
Anyway Mungu atusaidie.
Ufalme wa Mungu umekaribia. Tutubu na kumrudia Mungu!

...mkuu hauko serious.!mbona sodoma na gomora imepitwa mbali na yanayoendelea sasa,watu wanafunga ndoa na wanyama,mtu anafanya picha za ngono na farasi,rais wa taifa kubwa duniani anasimama na kusema ushoga ni ruksa,kilicho tushika ni neema ya Mungu tu vinginevyo uchafu unaofanyika ni laana tosha kutuangamiza...
 
Mtoa mada alirusha jiwe gizani ndugu yangu, kelele zako zinanipa mashaka....

Alla! Sikujua mimi! Kumbe mnakwendaga mnatupa mawe gizani halafu mnasikilizia "response"?!! Basi endelea kubahatisha kwa kutupa mawe gizani, utapata tu wa "Ubani" kwa kuchuja hizo response. Samahani yangu imekupotezea lengo na muda, nilidhani unahitaji msaada wa kuondoa kasoro, kumbe ulikuwa unatupa jiwe gizani??!!
 
Jana ucku nilipita maeneo ya mbagala zakhemu aisee papucha inauzwa kama njugu.katika pitapita zangu nilistuka navutwa Shari.nakuniambia elfu 3000 tu.nikauliza yanini uduma yamwili UK wengine.wanasema uduma ya 071 elf 4000 serikali kama IPO wasaidie kuondoa aibu ile.kazi kwenu wana jf

Last edited by a moderator:
maisha ya dar es salaam ni magum sana kiujumla... si hao tu wananouza miili yao, kuna makundi makubwa sana ya watu wanahaingaika na maisha...

tena wapo vijana tu wenye nguvu zao kabisa, mikono miwili, macho mawili na miguu mizima... cha ajabu wapo tu na wao wanadai maisha magum ndani ya jiji... wakipewa ushauri wa kurudi shamba na kuanza japo shughuli za kilimo, wanandia huo ni ushamba jamani!!!

hao dada zetu wanaojiuza, wengi wao walikuja mjini kwa hisia tu kwamba maisha yatakuwa mazuri tu for the first time wakitia miguu UBT! jambo ambalo si kweli.... nadhani serikali ya smile man iliangalie hili japo najua hakuna chochote kitakachofanyika zaidi ya maneno makavu tu..
 
Bro people are suffering and straggling to save there lives, ungempa hiyo buk 3 nakuendelea na issue zako.

Jamani hizi lugha za watu hamzifanyii haki, kama hujui kuandika Kiingereza si ungetumia "google translate" ingekusaidia. Au ungeandika Kiswahili tu. Jivunie lugha yako ya Taifa.
 
Jana ucku nilipita maeneo ya mbagala zakhemu aisee papucha inauzwa kama njugu.katika pitapita zangu nilistuka navutwa Shari.nakuniambia elfu 3000 tu.nikauliza yanini uduma yamwili UK wengine.wanasema uduma ya 071 elf 4000 serikali kama IPO wasaidie kuondoa aibu ile.kazi kwenu wana jf

Wapi Tyta?
 
Last edited by a moderator:
Huku Mwanza makoroboi, wateja maarufu siku wakichacha wanakopeshwa papuchi
 
Back
Top Bottom