chameleon
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 555
- 170
Jana ucku nilipita maeneo ya mbagala zakhemu aisee papucha inauzwa kama njugu.katika pitapita zangu nilistuka navutwa Shari.nakuniambia elfu 3000 tu.nikauliza yanini uduma yamwili UK wengine.wanasema uduma ya 071 elf 4000 serikali kama IPO wasaidie kuondoa aibu ile.kazi kwenu wana jf
Bora kama wengine mnaona ingawa serikali imefumba macho