Dar joto limeanza rasmi, tujiandae kisaikolojia, joto kali kuwahi kutokea linakuja


hapo humidity iko chini, ikigonga 70%, then temp ikapiga 33'C, ndio unakuta jamaa wa uku Mwananyamala wanatembea na bukta boxer barabarani, madem hawavai chupi ,

Capture.PNG
 
Tujuzane na shughuli za kufanya kiuchumi ambazo ziko favoured na joto badala ya kuogopa tu joto
 
Wana Dar wenzangu, mji wetu msimu wa joto kali umeanza rasmi.

Tujiandae kisaikolojia maana joto linaanza kushika hatamu hapa ni mpaka mwezi wa sita mwaka 2021 ndo tutaanza kupumua tena kwa kaubaridi.

Joto limeanza rasmi tujiandae kuungua kwa joto; najionea huruma

Ambao mliuza feni na viyoyozi shughuli mnayo.

Wale wa nyumba za kupanga na Luku za kushindana mjiandae.

Tanesco mtuonee huruma msikate umeme maana bila umeme hizi feni na AC ndo tegemeo letu tutakwisha.
Na Tanga linaanza kushika kasi!
 
Tatizo hamtaki kuhamia pembezoni mwa mji sir huku pambe tu upepo Kama wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom