Dar joto limeanza rasmi, tujiandae kisaikolojia, joto kali kuwahi kutokea linakuja

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,613
Wana Dar wenzangu, mji wetu msimu wa joto kali umeanza rasmi.

Tujiandae kisaikolojia maana joto linaanza kushika hatamu hapa ni mpaka mwezi wa sita mwaka 2021 ndo tutaanza kupumua tena kwa kaubaridi.

Joto limeanza rasmi tujiandae kuungua kwa joto; najionea huruma

Ambao mliuza feni na viyoyozi shughuli mnayo.

Wale wa nyumba za kupanga na Luku za kushindana mjiandae.

Tanesco mtuonee huruma msikate umeme maana bila umeme hizi feni na AC ndo tegemeo letu tutakwisha.
 
Joto inategemea uko pande zipi, sie wa huku Mbezi beach na Changanyikeni bado tutaendelea kula pupwe tu.

Poleni sana watoto wa K'Nyamala 🤣🤣🤣 kama una feni bovu mpelekee fundi Hamadi kabisa.
Feni mbovu ndo tamu... Hahahahaha
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom