Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Sababu kubwa ni Dunia kulizunguka jua ambapo lipo Tropic ya Capricorn na linakaribia kupita Equator ambapo sisi tupo karibu sana na mstari huo wa Equator hivyo joto lazima lizidiDar es Salaam
Tuesday
20th Feb 2018
Min 24°C
Max 32°C
Wednesday
21st Feb 2018
Min 25°C
Max 32°C
Thursday
22nd Feb 2018
Min 24°C
Max 33°C
Friday
23rd Feb 2018
Min 26°C
Max 33°C
Wanasababisha joto dsmWatu wa mikoan mna shida sana
Hiyo utakuwa Botwana, Namibia, Maputo au SA, Australia nkDar baridi sana huku watu tunachezea 42 °C
Wapi huko? Ila hats hapa hopes it is 36°CDar baridi sana huku watu tunachezea 42 °C
AhhahaahahNaipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuongeza joto dar- es- salaam.
Bas kesho nabadil asubuhiKipindi hiki kidume ukirudia boxer we basi uchafu ni asili yako
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] si ajabu wapo wanaozipiga week nzimaKipindi hiki kidume ukirudia boxer we basi uchafu ni asili yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Madhara ya silaha za moto hayo.
Joto limeletwa na uongozi mbovu wa ccmKwa kweli kuna joto..nipo muda mrefu hapa Dar lakini this time kuna utofauti mkubwa sana.