Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji97] [emoji98] [emoji98]mungu azidi kuwachemsha mpaka muive, machukizo kwa mungu mengi yanaanzia dar! Mungu hapendi binadamu wamaowaua wenzio wasio na hatia, Mungu anawaonya mtubu, mnakataa, siku akiamua kunyoosha mkono wake vilivyo mtahama hapo! poleni sana, hivi kwa nini hamtaki kutubu? mnataka kwenda peponi bila kudedi! kutwa tuwaombee, mbona nyie hamtuombei.?
True, ukitoka bafuni kuoga hujaingia ndani jasho lishaanza kutiririka.Ni 32°
Lakini real feel ni 4O°
Source:AccuWeather
Noma sana![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji97] [emoji97] [emoji98] [emoji98]
Vijana wa ccm wanapiga makofiNaipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuongeza joto dar- es- salaam.
hahaaaa ...unamsema bakayoko eehhh ..ameshakusikia aisee subiri kutekwa. ...hahaaamungu azidi kuwachemsha mpaka muive, machukizo kwa mungu mengi yanaanzia dar! Mungu hapendi binadamu wamaowaua wenzio wasio na hatia, Mungu anawaonya mtubu, mnakataa, siku akiamua kunyoosha mkono wake vilivyo mtahama hapo! poleni sana, hivi kwa nini hamtaki kutubu? mnataka kwenda peponi bila kudedi! kutwa tuwaombee, mbona nyie hamtuombei.?