Dar Jangwani picha

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
Mafuriko kituo cha Mwendokasi Dar, kariakoo,
mtaa wa msimbazi, kinondoni, Morocco na maeneo mengine
mvua bado ni nyingi mno Mheshimiwa Makonda elekeza wananchi wako ATTACH=full]1096198[/ATTACH]
 

Attachments

  • FB_IMG_1557751466317.jpeg
    30.6 KB · Views: 49
Poleni sana wana Dar es Salaam kwa mafuriko hayo

Lile jengo lenye rangi kama kile chama kinachoongoza nchi mbona halionekani au ndiyo limezama kabisa?
 
Kitendo cha mamlaka kuzuia watu kuchimba mchanga Bonde la msimbazi na maeneo ya jirani ndo kimesabibisha hata yale maji kidgo yaliyokuwa yanaenda hayaendi sasa
Vijana walikuwa wanapata riziki na pia kupunguza mchanga sasa unatoka huku mbezi na kutuhama jangwani
 
Hapo zinahitajika mfugale ya haraka.
Zijengwe na wanajeshi!
 
Hivi yule bw. anayetumbua watu kila kukicha si ndio alikua waziri wa barabara wakati hiyo barabara na hilo lijengo la mwendokasi.....

Inamaana hakuona hii kitu tangu awali???[emoji48][emoji48][emoji48]
 
H

Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemu
nadhani wale ma Eng wa wilaya na mkoa bado wapo ofsini na Kama hawapo ni rahisi wakamatwe haraka sana wawajibishwe
 
H

Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemu
Na wakome, maana wanatusmbua sana na mabasi yao!
 
Think tanks za bongo eti hawakuwahi kuforesee kuwa hapo patajaa maji nyakati za mvua!!
Ikubukwe wakati wote tangu mkoloni. uhuru hadi Mwalimu hivi viwanja viliachwa wazi na KAJIMA walijenga yard ya muda kuweka tu vifaa. Alafu mtua anakuja na ile akili eti "ukijenga maji yatahama".
Cha kusikitisha ndio hawa hawa ambao leo wanafanya na maamuzi ya kesho yetu!
 
Poleni sana wana Dar es Salaam kwa mafuriko hayo

Lile jengo lenye rangi kama kile chama kinachoongoza nchi mbona halionekani au ndiyo limezama kabisa?
[emoji1][emoji1][emoji1] Mkuu ramli chonganishi hii. Maulana aepushie mbali ili bakuli la mchango wa pango la ofisi lisije pita.
 
"...Wayne Rooney & co welcomed by hordes of supporters as they arrived in the fishing village of Dar es Salaam"
the Daily Mail online wrote shortly after the Everton squad (including Wayne Rooney who rejoined his boyhood club in this transfer season) arrived in Dar es Salaam, Tanzania.
 
Na huyu gavana wetu naye haoni hizi dharura? Badala ya kutafuta ufumbuzi na wadau, amekuwa mtu wa kwenye misiba kama vile anajisafishia njia za kisiasa. Ndio maana akina Mangi hawakumuacha. Miaka ile, yule kijana alikuwa Meya wa jiji liko kwenye mafuriko yeye anazindua matawi Mwanza, kuulizwa anajibu hawezi kuzuia mvua kwa mikono. Alipogombea, wananchi wakamuonesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…