macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,808
- 39,626
Naweza kusema ni ujinga wa hali ya juu kumwajiri mtu usiyejua background yake. Najua sana umuhimu na ugumu wa kupata wafanyakazi wa nyumbani kwa watu wengi lakini tusi-compromise security kwa umuhimu/uadimu wao.Duh
Pole kwa familia Kuna haja ya Hawa vijana wakaz tuwasajir kabisa serikal ya mtaa tuwe na full details zao wanakotoka familia zao
Maana hiki s kisa Cha kwanza kutokea kwa wafanyakaz kuua mabosi zao au watoto wa mabos zao