Dar: ‘Houseboi’ adaiwa kumnyonga bosi wake hadi kufa

Duh

Pole kwa familia Kuna haja ya Hawa vijana wakaz tuwasajir kabisa serikal ya mtaa tuwe na full details zao wanakotoka familia zao

Maana hiki s kisa Cha kwanza kutokea kwa wafanyakaz kuua mabosi zao au watoto wa mabos zao
Naweza kusema ni ujinga wa hali ya juu kumwajiri mtu usiyejua background yake. Najua sana umuhimu na ugumu wa kupata wafanyakazi wa nyumbani kwa watu wengi lakini tusi-compromise security kwa umuhimu/uadimu wao.
 
Nipashe ndiyo wanaandika kiugorougoro namna hii siku hizi!!!? Wako wapi waandishi wa uhuru ya miaka ya 70!!
Nowdays ukiandika habari ngumu na kwa urefu hata wewe unakuja na maneno, ooh umeandika kama kitabu.

Siku hizi ni "intro" inatosha, ukitaka kwa kina unanunua gazeti lililotoa au kuitafuta popote utakapoipata.
 
Duh

Pole kwa familia Kuna haja ya Hawa vijana wakaz tuwasajir kabisa serikal ya mtaa tuwe na full details zao wanakotoka familia zao

Maana hiki s kisa Cha kwanza kutokea kwa wafanyakaz kuua mabosi zao au watoto wa mabos zao
Namaboss wanao watesa wafanyakazi na kuwaua pia wapate utambulisho
 
Baba Mwenye Nyumba yawezekana ndo muuaji.

Achunguzwe kwa Kina. Au Forensic wahusishwe.

Kwa Nini Aliruka Ukuta? Kisheria Hairuhusiwi kuingia ndani kama mlango haujafunguliwa.

Ilipaswa Aite Serikali ije kushuhudia na kumsaidia kuvunja.
 
Back
Top Bottom