Kumbe unajua hilo. Kama tukiweka maslahi ya taifa mbele sisi si masikini hata kidogo. Reserve ya Uranium tuliyo nayo nikubwa mno. Mkwere anafikiria kuwauzia IRAN. Wataalamu Tanzania inabidi wawe Pro CCM hii kitu inakatisha sana tamaa siasa siasa na ufisadi big time.
Kuna Mtanzania yuko NASA kwa muda mrefu sasa, najua walio US wanamjua. Hawezi kunufaisha Tanzania alikotoka sababu kila kitu nyie lazima kiwe na mkono wa CCM. Huu ni ujinga na Ujuha. Angalia yaliyomkuta Tido Mhando unafikiri kweli kwa hali hii unaweza mshauri Rev Masanilo arudi bongo kweli? Kwanini asiendelee kula box ughaibuni na kusadia nuclear members of his family kuliko kusaidia nchi. Amkeni watanzania piga chini viongozi goi goi waliolala usikizi wa pono. Leo hii mko gizani hahahahahahahahh tena mko Dar duuuu