Dar Free Market (DFM): Mmoja aliyedaiwa kuwa Jambazi auawa na Polisi kwa risasi

mhh huyu nae mchaga au, walianza kina neema kuchoma nyumba, akaja mwengine kumtwanga mwenzake risasi kisha nae kujiua saizi tena huku,,,, kama ndio hivi ni balaa
 
Nusu saa nzima mpaka naondoka eneo la tukio hakukua na hizo line za Police do not cross, hakukua na ambulance yeyote, iliokuja kwa ajili ya kuhakikisha hakuna aliepata madhara, raia waliachwa wakazagaa na wengine kuweza kusogea karibu kabisa. This is Africa bana .
 
For six years under dictator we never seen this shooting why? Its better be under dictator meanwhile your security is at its high height rather than be in democratic government that is full of mass killing and tourture we dont know who will be next
Sasa hivi ndio mnamtaka hata huyo dikteta sio? Ngoja dawa iingie
 
Siasa mchezo mchafu bro
Tozo haiwezi kuondolewa zaidi ya kupunguzwa tu na ndiyo lengo la serikali
Wameongeza makato bado wataonekana mashujaa vilevile
Unadhani yalikuwa maamuzi ya Mwigulu pekeyake samia hajauhusika?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
NI kweli kabisa watapunguza kiaisi ili waonekane serikali ni sikivu na wamesikia kilio chao ila bado wataacha kiasi walicho kusudia nasi tuone kuna unafuu tukisahau kuwa bidhaa moja unalipia kodi zaidi ya mara moja.

ukisililiza kwa makini maelezo yote ya zungu (ZUNGU LA TOZO) aliyotoa tena zaidi ya mara moja ikiwamo kulipia ni wazi ni mtu anayeona badala ya kuchukua kodi kwa matajiri na makampuni makubwa ni bora kuwawekea watu wa chini kodi ili ifike mahali wawe ni watuwa kuhangikia mahitaji yao na kukuacha wewe ukitawala kwa utashi wako ila kasahau kanuni hiyo likuwa njia ya kizamani ,

sisi ni Kama Congo DRC maliasili zetu hazina msaada tofauti ni kuwa wale kuna makundi ya kigaidi yanasaidia kuipora nchi huku kuna makundi ya wanasiasa yanayofanya kazi hiyo
 
Enzi za mwamba mwendazake yalisimama kwa muda kupisha mwamba atawale.
Sasa ni kama paka akiondoka panya hutawala.
Hii nakataa. enzi zile hakukuwa na uhuru wa habari. serekali ndo ilikua inaamuwa taarifa gani iende hewani na taarifa ipi isiende hewani. ila sio kweli eti uhalifu uliisha.

hom tulishaibiwa kipindi hicho. jamaa waliruka ukuta. tatizo watz wanasaau mapema sana tumeshasaau maxence wa jeiefu alivosumbuliwa na utawala ule. ilikua wanataka habari ziandikwe wanavotaka wao.
 
Hawa wapuuzi wanatupira simu kilanuchao Leo ameuwawa mnamwita jambazi,kwanhiyo Kuna majambaz wengi wenye pikipiki wanaendelea kula Bata mjini
 
Hawa wapuuzi wanatupira simu kilanuchao Leo ameuwawa mnamwita jambazi,kwanhiyo Kuna majambaz wengi wenye pikipiki wanaendelea kula Bata mjini
Mtu anaepora kwa kutumia bunduki ulitaka aitwe nani? Kibaka?
 
Yalikuwepo chief sema hayakuwa reported kama yanavyofanywa sasa!

Yani online medias ndio habari zao hizi, groups za Facebook ndo habari ingine, JF ndio nyuzi 10 per day! Twitter ni kiharusi.
Angekuwepo huyo Ngosha angeuliza kazi ya Polisi ni nini kungetokea mauhamisho ya ajabu ajabu sana na kushushana vyeo.

ILA YALIKUWEPO TENA GEITA KABISA ALIKOTOKEA
Yaani ni wewe tu ndio ulikuwa unayosoma hayo matukio mwenyewe, halafu wengine tukawa hatuzipati hizo habari kiasi unatuhakikishia with confindence yalikuwapo mengi tu. Usitufanye hatukuwapo kipindi cha jpm
 
Tunaopora simu kwa pikipiki hua tunaitwa vishandu na hua hatuna silaha. Tunategemea vichochoro na huruma ya wananchi tukikamatwa
 
Kuiba simu na bunduki haya ni matumizi mabaya ya silaha
 
Kuna watetezi wa mama humu wanachanganyikiwa kila wakiona habari hizi. Ila hawezi kumshauri badala yake wanaendelea kumsifia tu na kujikakamua. Mama anaupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom