Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,421 Reaction score 3,226 Dec 9, 2025 #1 Ila Dar es Salaam mji wa maigizo sana, hakuna vichaa wala ombaomba barabarani.
KEKO JUU JF-Expert Member Joined Jan 30, 2025 Posts 592 Reaction score 1,841 Dec 9, 2025 #2 😅😅 hiyo ndo bongo
The nightwalker JF-Expert Member Joined Sep 12, 2025 Posts 1,154 Reaction score 1,528 Dec 9, 2025 #3 Vichaa hawana akili lakini ikifika kwenye kifo kidogo ukichaa unawatoka!
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,721 Dec 9, 2025 #4 Watu wanaishi kwa hesabu kataka hili jiji, muda huu ombaomba wametulia katika mijengo yao wanawazoom tu kwa Televishini kama maboss zao mtatoka mkafe au vipi!
Watu wanaishi kwa hesabu kataka hili jiji, muda huu ombaomba wametulia katika mijengo yao wanawazoom tu kwa Televishini kama maboss zao mtatoka mkafe au vipi!
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,421 Reaction score 3,226 Dec 9, 2025 Thread starter #5 cocastic
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 5,922 Reaction score 11,133 Dec 9, 2025 #6 Waliwapiga risasi wakawamaliza Oct 29 - Nov 3, risasi haina macho