Bwamdogo DAR ES SALAAM yote haina UMEME amekuambia naniNikiwa Kariakoo majira ya saa 18:30 nikaona kiza cha ghafla! Si kawaida kukuta kariakoo yote haina umeme ila kadri nilivyosogea mpaka mtaa wa kongo nikakuta hali hiyohiyo ya kiza, kupiga simu home Tabata naambiwa nako hakuna Umeme anzia jioni!
Kuna nn leo ndani ya Jiji la Dar es Salaam?
AahahahNimeunganishiwa leoleo halafu umekatika...
Dsm ni taa ya nchi, haipaswi kuwa gizani.Ila nyie watu wa dasilamu ni midebwedo sana, umeme kukatika tu nayo ni habari ya kitaifa…. ni full kulialia.
Uku kwetu upo oster Bay kalibu makazi ya rais
Dah Umepata taarifa au umeunganisha dotNikiwa Kariakoo majira ya saa 18:30 nikaona kiza cha ghafla! Si kawaida kukuta kariakoo yote haina umeme ila kadri nilivyosogea mpaka mtaa wa kongo nikakuta hali hiyohiyo ya kiza, kupiga simu home Tabata naambiwa nako hakuna Umeme anzia jioni!
Kuna nn leo ndani ya Jiji la Dar es Salaam?
Kijichi upo mbagala Charambe hakunaHuku Oysterbay na Masaki kuja mpaka seaview unawaka mkuu.
Unakaa wapi Okoth p'Bitek etHuu mwandiko haukai oyster bay