UKAWA SASA KUCHUKUA MAJIMBO YOTE YA DAR-ES SALAAM WAJIPANGA KISAWASAWA
Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.

Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.
Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.
Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

ana UKAWA yake huyo.Mbona umekurupuka...Hayo majimbo nadhani umegawa wewe
CHADEMA wala NCCR bado hawajaanza process ya kupendekeza wagombea
Wewe umeyatoa wapi haya?
Labda siyo dar es Salaam tunayoifahamu, ninachokiona ni UKAWA kupoteza hata hivi viti vilivyopo au walivyonavyo, tofauti iliyopo kati ya upinzani na CCM ni kwamba, upinzani wanapiga kelele tu na kudanganywa na idadi ya watu walio udhuria mikutano yao, wakati CCM japo mnawabeza lakini wamekuwa wakijikita kule ambapo tunajua kuwa ndipo wanapo patia ushindiUKAWA SASA KUCHUKUA MAJIMBO YOTE YA DAR-ES SALAAM WAJIPANGA KISAWASAWA
Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.
Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.
Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.
Mkuu hii taarifa yako umeitoa wap maana chadema bado hata mchakato haujaanza
Mkuu mtoa mada ameeleza kwamba mbali ya kuwa matajiri pia ni wanasiasa wasomi,hivyo kwa kuwa ni wasomi wazuri tunategemea pia sana uwezo WA kuongoza.Nimewaweka watu hawa wawili nikiwa nahitaji kujua kuwa hawa wameteuliwa kwa sababu ya UTAJIRI wao au UWEZO walionao kuongoza jimbo?Nauliza hivi sababu kwa maandishi haya waweza kuzua mjadala mwingine kuhusu Chama.
Wewe ni gamba tulia UKAWA hawajakaa kikao cha kuchuja wagombea
kwa hicho kikura chako kimoja ?siku matokeo ya uchaguzi yakitangazwa ndio utajua kwanini iliitwa CCM
Majimbvo
tajili
JAMARDINI Mkadamu
mchi