Dar es Salaam sukari 3500 hii hatari!!

kinumi

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
1,027
746
Leo nimepita dukani kwa Mangi sehemu ninayo nunua vitu siku zote nimekuta sukari 3500 ccm mtatutoa roho jamani bora tuyarudishe majipu kuliko haya mateso
 
Mimi leo pia nimenunua 2500 uwiiiiiii
Haya ndio matokeo ya maamuzi ya kukurupuka kutoa matamko bila kujipanga.
 
Duu jaman me nafkr 2po kwenye reforms, just to attain stability, mmh lakn kwa mfumuko huu wa bei Lol!
 
Viongozi wetu watumie busara kuliko kukurupuka wanainchi tunateseka sana maisha magumu sana bia tumeziacha na chai itushinde kweli sio kila kitu siasa
 
Mimi leo pia nimenunua 2500 uwiiiiiii
Haya ndio matokeo ya maamuzi ya kukurupuka kutoa matamko bila kujipanga.
Hii hatari nifah mkate 2500 sukari 3500 hii naona wanatutumbua sisi sio majipu tena
 
Na laiti mungu angekuwa na roho mbaya kama yako nahisi dunia hiii ungebaki wewe na roho yako mbaya
ungeishia kwenye boxa ya mzazi wako wara dunia usingeijua kabisa au ningekugeuza
 
This was a big miscalculation on the part of the JPM government.Nadhani uamuzi wa kusitisha uingizwaji wa sukari kutoka nje ulifanywa kwa haraka mno bila kufanya utafiti wa kutosha on the impact of the decision.This is a litmus test on the JPM government.
Leo nimepita dukani kwa Mangi sehemu ninayo nunua vitu siku zote nimekuta sukari 3500 ccm mtatutoa roho jamani bora tuyarudishe majipu kuliko haya mateso
 
Back
Top Bottom