Sura ya Tisa, 105 (3) "Kwa madhumuni ya Ibara ndogo 2(a), kila mkoa kwa upande wa Tanzania Bara na wilaya kwa upande wa Zanzibar, itakuwa ni jimbo la uchaguzi". Any'way turudi kwenye mada mkuuKwa mapendekezo ya Tume ya katiba mpya wao wanaona kwamba kufuta viti maalum kutasababisha bunge kuwa na Wabunge wanawake wachache sana, hivyo ili kuhakikisha hali hiyo haitokei ndio wamekuja na hilo pendekezo kila jimbo liwe na Wabunge wawili mmoja mwanaume na mwingine mwanamke kwa maana hiyo kuongeza idadi ya Wabunge karibu maradufu ya hawa waliokuwepo katika bunge la sasa, sidhani kama kila mkoa uwe na Wabunge wawili. Ila kama nimekosea ni kila mkoa uwe na Wabunge wawili badala ya kila jimbo basi nitasahihishwa.
Hivi ni kweli kwamba mbunge mwanaume hawezi kumwakilisha mwanamke and vise versaKwa mapendekezo ya Tume ya katiba mpya wao wanaona kwamba kufuta viti maalum kutasababisha bunge kuwa na Wabunge wanawake wachache sana, hivyo ili kuhakikisha hali hiyo haitokei ndio wamekuja na hilo pendekezo kila jimbo liwe na Wabunge wawili mmoja mwanaume na mwingine mwanamke kwa maana hiyo kuongeza idadi ya Wabunge karibu maradufu ya hawa waliokuwepo katika bunge la sasa, sidhani kama kila mkoa uwe na Wabunge wawili. Ila kama nimekosea ni kila mkoa uwe na Wabunge wawili badala ya kila jimbo basi nitasahihishwa.
Mkuu nimeipenda sana hii . Nakupa like kubwa.Shirika linalo chukua fedha yote ya serikali ni CCM
Hili la Tanesco mbona watatumaliza mama weeeee!TANESCO kifedha iko hoi bin taabani. Inaendeshwa kwa hasara kubwa kwa miaka mingi sana. Bado wanatakiwa kuwalipa mafisadi wa Richmond/Dowans bilioni 111 na bado wanabebeshwa mzigo mwingine wa kutoa 10% ya mapato yao kwa Serikali ya kifisadi!!!!
hela zimeenda wapi serikali isilete masihara katika mambo ya msingi hawakusanyi kodi kwa wakubwa ndio maana by the way mi napenda serikali ya ccm ifilisike kabisa hawana maana.
hela zimeenda wapi serikali isilete masihara katika mambo ya msingi hawakusanyi kodi kwa wakubwa ndio maana by the way mi napenda serikali ya ccm ifilisike kabisa hawana maana.
Nina wasi wasi na knowlage yako. aliyekudanganya kuwa fedha zinazojenga barabara ni za serikali ni nani?Serikali ina Fedha nyingi tuu. Kwa sababu wanauwezo wa Kubandua Barabara za Dar es salaam na Kuzijenga upya tena kwa kiwango cha kimataifa. Angalia Morogoro Rd, Mwai Kibaki Rd Old and New(aka Bagamoyo Road). Mikoani ndio usipime nasikia kila kijiji kinaunganishwa kwa Lami au Reli na Viwanja vya Ndege kila Mji. Miradi yote hii si Pesa ya Serikali?
Huu utakuwa bomba tu mbona mipango ya waziri wa fedha iko njema tu lazima atavuka salama tu.kama mwaka wa fedha uliopita hari ilikuwa mbaya kupindukia unategemea mwaka huu ndio itakuwa nzuri? kwa mtazamo wangu hari itakuwa mbaya zaidi ya hile ya mwaka wa fedha uliosha.
Itabidi chadema waache kupewa ruzuku kwanza wanaishia kuzichezea tu kwa kujikopesha kwa matumizi binafsi.Mkuu nimeipenda sana hii . Nakupa like kubwa.
Kama unaona elimu gharama jaribu ujinga make comment yako inaonesha wazi kuwa elimu ya kuchambua mambo hunayo.Akiba yote ilimezwa na ziara ya Rais wa Dunia Obama ebu fikiria tena haihitaji Elimu ya Chuo Kikuu hata Darasa la pili atabaini hili ! Hv kukodi Muziki yaani Mic na Speakers kwa siku mbili imegharimu Tshs Milion 194 ! ?sasa jiulize huko kwingine zimetumika tshs ngapi?kufa kufaana mgeni aje wenyeji wapone ! Lakini mgeni kaja Wajanja wamepona huku Serikari ikiachwa bila kujua Wajanja wamepenya vipi ! Hii Ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo ! Eti hapa napo patahitaji tume ?