DAR ES SALAAM: Profesa Assad akabidhi ofisi kwa CAG mpya

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,560
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwa ofisi na Mtangulizi wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya ofisi hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.
1-4.jpeg
CAG-22.jpeg
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwa ofisi na Mtangulizi wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya ofisi hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.View attachment 1254515View attachment 1254516
Usiende ukabadilika kuwa mhimili mwingine nitakutoa hata kama umemaliza mwaka mmoja tu, maneno ya hovyo sana haya
 
1572943817857.png

ALIYEKUWA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), January Makamba amemkabidhi rasmi ofisi waziri mpya wa Wizara hiyo Simbachewene. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Julai 24, 2019, jijini Dar es salaam
- - - -

CAG-22.jpeg

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwna ofisi a Mtangulizi wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya ofisi hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.
= = = =

Tunalazimishwa kuamini kuwa hii ni 'dress code' ya kukabidhi ofisi ama ni kitu gani kinaendelea...!?
 
JF wangeweza ku-vet michango kabla ya kuwa posted, Jukwaa lingependeza. Mtu akipost pumba, mnawekea kapuni
 
kwani yeye anashida gani hela zinazopigwa si ni kodi zenu,,
 
JF wangeweza ku-vet michango kabla ya kuwa posted, Jukwaa lingependeza. Mtu akipost pumba, mnawekea kapuni
Ingekuwa haina maana,kwasababu ingeminya uhuru wa kujieleza,kila mtu ana haki ya kutoa maoni anavyojisikia,usilazimize kufanana,tayari kuna sheria na taratibu za jf na zinafuatwa.
 
View attachment 1254549

ALIYEKUWA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), January Makamba amemkabidhi rasmi ofisi waziri mpya wa Wizara hiyo Simbachewene. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Julai 24, 2019, jijini Dar es salaam
- - - -

CAG-22.jpeg

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwna ofisi a Mtangulizi wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya ofisi hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.
= = = =

Tunalazimishwa kuamini kuwa hii ni 'dress code' ya kukabidhi ofisi ama ni kitu gani kinaendelea...!?
Mkuu hii ndio ikupe picha ni watu gani wanatumbuliwa zaidi
 
Back
Top Bottom