Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,722
- 16,068
Bongo kweli nyoso ..bongo balaa
Mambo ya konveta..
View attachment 2353408
Nje ya mada...mkuu upo vizuri sana sana...hongera sana...ila nimesoma upareni...miaka 4 aisee waparee wana akil nzito sana...na ni wajuaji haswa....
Siku moja same sec pale nipo na mbaga simu yake imeisha chaji...na simu hazirusiwi shuleni...jamaa main switch katoa viwaya vyake afu kaunganisha na chaji yake...mara paap kanyukwa shot...sasa vitanda ni double...wenge lile kutoka juu mpaka chin kaanguka....
Afu ni kama hajitambui...kalala chin anasema anasikia baridi...tumpepeee...sasa kwa joto la Same lile baridi inatoka wapi...??
Akanyanyuka akaanza kukimbia anasema moto unawaka..wenge ilo...
Poa lipe hai lijinga jenzio hilo
Dah ila we jamaa kwa uandishi [emoji114][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unageuka Refa huku ukibet na I atakuwa mshindi, je lakushoto au lakulia. Na ukitaka kutoa jibu Yanapiga Tindindindi! Kukuchanganya[emoji3]
[emoji28][emoji1787]Nje ya mada...mkuu upo vizuri sana sana...hongera sana...ila nimesoma upareni...miaka 4 aisee waparee wana akil nzito sana...na ni wajuaji haswa....
Siku moja same sec pale nipo na mbaga simu yake imeisha chaji...na simu hazirusiwi shuleni...jamaa main switch katoa viwaya vyake afu kaunganisha na chaji yake...mara paap kanyukwa shot...sasa vitanda ni double...wenge lile kutoka juu mpaka chin kaanguka....
Afu ni kama hajitambui...kalala chin anasema anasikia baridi...tumpepeee...sasa kwa joto la Same lile baridi inatoka wapi...??
Akanyanyuka akaanza kukimbia anasema moto unawaka..wenge ilo...
Ilete mkuu[emoji16]Unaweza piga Yowee![emoji23][emoji23]
Kuna Stori ya Cocktail nitaileta humu. Noma Sana[emoji3]
Ahahahahahaha so funny, shukuru ulifika mjn ukapata conection ya kupata hela za kwenda salun nzuri, kuna wenzio tangu wafike dar mvua yao, jua lao! Ila daslam we pata tu hela baaaaa ata uvae makobaz juu nywele kipilipili vaa gunia bado utaambiwa umependeza
Dsm mbn jiji la kawaida mkuu? HIV ukifika Chicago itakuaje?
Bongo kweli nyoso ..bongo balaa
Hayo mawazo yako kama ni mvi si nanyoa kipara tu !! Me niko smart na kunyoa na nyoa buku 2 kawaida tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Tulia hivyo muda utaongea tuu!
Wengi tulikuwa Kama wewe.
Usishangae ukifika 40+ Mvi zikianza kujongea ukajikuta mpaka black mbobezi
Hayo mawazo yako kama ni mvi si nanyoa kipara tu !! Me niko smart na kunyoa na nyoa buku 2 kawaida tu
Siwezi kufanya hivo mkuu, labda kama nikitaka malaya wa Barbershop wa kupiga ndio tazugia kwenda huko ila siwezi kujiremba kichwa na makorokoroBuku mbili unanyoa nini Mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Acha ubahili wewe.
Mara mojamoja tafuta Barbershop Kali uone Raha ya Maisha [emoji3256][emoji3256]