Dar es Salaam ni kama 'Converter', lazima ikubadilishe

Nimezaliwa hapa na niko smart mbona sjawai kushobokea mambo ya saloon? Sjui kupaka makorokoro. Nadhani kujiremba kichwani hayo ni mambo binafs ya mtu tu wala hayahusiani na kubadilika
 
Siku ya harusi yako utarembwa tu
 
Raha ya tozo uwe mitaa ya walatozo MKUU 😂😂

Nipe maelekezo namimi nijisogeze Kwa Wala tozo niconvert hii kipilipili na kudelete some files.

Screenshot_2022-09-11-12-14-29-48_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg
 
Nimezaliwa hapa na niko smart mbona sjawai kushobokea mambo ya saloon? Sjui kupaka makorokoro. Nadhani kujiremba kichwani hayo ni mambo binafs ya mtu tu wala hayahusiani na kubadilika

😀😀😀
Tulia hivyo muda utaongea tuu!
Wengi tulikuwa Kama wewe.

Usishangae ukifika 40+ Mvi zikianza kujongea ukajikuta mpaka black mbobezi
 
Ata ukivunga bwana mm nlikuwa nataka ukija likizo uwe unaniandikia hotuba zangu nizitumie kwa walima mchicha wenzangu Kama ulivyokuwa ukimwandalia JK
 
Back
Top Bottom