Dar uchawi upo Ila inategemea level ya kipato.
Wenye pesa hawarogwi. Wanaorogeka Ni Hawa huku chini na ndio wanawatajirisha waganga na manabii feki kina Mwamposa, Mwakatage, Gwajima na wengineo.
Ukiona VX imepaki kwa Mwamposa ujue Ni ya Mwamposa. Hakuna mwenye v8 anayekwenda kwa Mwamposa.