Dar es Salaam ni Israeli inayoitafuna mkoa wa Pwani kama Palestina

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,612
8,746
Wale mnaofahamu mkoa wa dar mtajiuliza jinsi unavotanuka kwa Kasi lakini ukichukua maeneo ya pwani na kuwa sehemu ya mkoa wa Dar.

Tukirudi nyuma miaka 80 kushuka nyuma dar ilikuwa kama manispaa tu ya mikoa mingine.

Cha kushangaza ndio kanazidi kusogea kusogea usije shangaa kule kwa jokate kukawa sehemu ya dar
 
Wale mnaofahamu mkoa wa dar mtajiuliza jinsi unavotanuka kwa Kasi lakini ukichukua maeneo ya pwani na kuwa sehemu ya mkoa wa dar...
sasa nyinyi mnatoka huko mikoa ya Magharibi si ni kama West Bank tu ya Palestine mnakuja kujazana Dar,
we unadhani itakuaje?

Baada ya miaka 70 morogoro na bagamoyo zitakua ni Dar tu vilevile, huku tanga ikinyemelewa kwa karibu kua dar baada ya miaka 100 ijayo
 
sasa nyinyi mnatoka huko mikoa ya Magharibi si ni kama West Bank tu ya Palestine mnakuja kujazana dar,
we unadhani itakuaje?
baada ya miaka 70 morogoro na bagamoyo zitakua ni dar tu vilevile, huku tanga ikinyemelewa kwa karibu kua dar baada ya miaka 100 ijayo
Hakuna kitu kama hicho... Hizo New York singechukua hadi Washington yote...

Mikoa haikui hivyo, tena serikali inajitahidi kuvunja vunja mikoa hili iwe midogo kujitegemea alafu wewe unakuja na hoja ya kusema mpaka bagamoyo itakuwa sehemu ya Dar? Pwani yenyewe ilivunjwa ndio Dar ikapatikana, na bado pwani itavunjwa zaidi kutengeneza mikoa mingine zaidi, na sio kuunganishwa kuwa mkoa wa Dar

Geita yenyewe ilikuwa wilaya ya mwanza, ikavunjwa vunjwa na geita ikajitegemea kuwa mkoa... Kadri maendeleo yanavyozidi ndivyo maneno yanavunjwa vunjwa na sio kuungana
 
sawa mkuu, hiyo nakubali bila wasiwasi wowote
 
Back
Top Bottom