Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

MBAGALA:

Mabomu ya machozi yanapigwa kuwatawanya wananchi waliokuwepo Shule ya Msingi Maji Matitu.

Hivyo Polisi wameingilia kati kuweka hali ya usalama pale Mbagala
 
Mungu akulinde Halima....!!!

Kippi Warioba aondoka kituoni, amesema hakubaliani na MATOKEO..
kwani MKURUGENZI atamtangaza HALIMA MDEE...!!! ITV live dak. chache watatangaza Halima kashinda kwa kiwango gani...!!

Mungu yuko nasi...!!!


ooops nimeshindwa kuzuia machozi yangu.

Hongera sana kamanda wetu wewe ni jembe la uhakika .

Kweli wewe dada nimekunyooshea mikono. natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kukurudisha tena bungei

Mwenyezi mungu akutangulie Jembe letu
 
Mdee alizungumza na mwandishi wa Azam tv akieleza jinsi kawe ccm walivyokuwa wamepanga kuchakachua matokeo, bila ubishi ccm ndio chanzo cha vurugu.
 
Alliance academy ya Mwanza wamepiga Kura shule ya Sekondari na Msingi .... Kila mmoja alikuwa anajiuliza waliandikishwa je? kwa vigezo vipi? UKAWA hapa wana kusi nzuri sana ... Bukoba nayo ilikuwa vivyo hivyo ...

:eek2: ujue unachosema ni uvunjaji wa sheria? ungetakiwa kuwaeleza usalama haraka iwezekanavyo. sasa saa hizi utawezaje ku ripoti?
 
Mbona Kibamba haipo?
 
Wakuu wa mabadiliko tulizaneni mambo mzuri yapo angani. Tuwasubiri NEC watangaze mpaka wakifika kikomo sisi tuwaonyeshe kwamba tupo na tuna weza." No COMMENT's "
 
Wana KAWE wakifanya ujinga wa kumuondoa MDEE watajuta maisha yao yote..bunge bla mdee,zitto,tundulisu,mnyika..hakuna ktu.
 
Huyu Kippi na CCM walininyima usingizi sasa ni talala vizuri. Hongera Jembe Mdee.


Sasa bado Mnyika.
 
Kiukweli kinacofanyika kawe ni uvunjifu wa amani ila sasa hao nec wanafurahia sana na kushadadia kutangaza matokeo ya ccm na sio ya upinzani hawa tangazi

kwa david kafulila napo hivyo hivyo sasa huu ni uhuni
 
Naangalia Channel 10... Kippi Warioba kakubali kushindwa na anamtakia heri Halima Mdee. Kisha akaondoka kwenye eneo la tukio.
 
Majimbo yote ya Dar ambayo bado hayajatangazwa.. ni kuwa UPINZANI yamechukua tayari... ikiwemo KINONDONI, TEMEKE, MBAGALA, KIBAMBA... KAWE... ila CCM wanaleta figisufigisu zao...!!! Tena wameshindwa vibaya...!!! Mfano kama Ubungo, KUBENEA kashinda, Ila CCM wamebanaaaaaaaaaaaa usiku na mchana...!!! Mwishoe... KUBENEA, CHADEMA katangazwa leo...!!!

So, nina uhakika, jimbo la Kigamboni na Ilala tu ndio CCM wameshinda... na ILALA Zungu kashinda kwa KURA CHACHE SANAA SANAAAAAAAA... yaani Hassanali ni mshindi kwa jinsi ilivyo kuwa...but ndio hivyo...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…