Dar es salaam kinara wa kupapasana mabampa

Dar es salaam kinara wa kupapasana mabampa

Wahanga wakubwa ni gari ndogo huku wababe ni Horse na njia zinazoongoza kwa matukio hayo ni Mandela road na Morogoro road. Be careful unapokuwa barabarani wahuni wasije kupapasa ndinga yako.
Siku ya Ijumaa kuna jamaa walipigana pasi mwingeni ana Mitsubishi CVR New Model na Mwingine ana Subaru Forester.

Subaru Forester ndio alipigwa pasi kwa nyuma. Subaru alisimamisha gari na kushuka. Aliporomosha matusi kwa jamaa wa Mitsubishi then jamaa akaingia kwenye gari yake akaondokaa bila kudai chochote.
 
Ajali za kawaida tu hizo mjini

Traffic police akija anawambieni

Malizaneni

Ova
Kweli kabisa niliwahi papasa gari la Sebastian Ndege pale tangbovu yan mpapaso wa mbaaalii dereva alinimaindi sana mpaka trafiki aje akasema mbona kidogo sana hata mwente gari hawezi kujua malizaneni sema jamaa akawa anaogopa kuwa watoto watamwambia bosi na bosi atahisi alipokea pesa ikabidi ampigie tukapata nikampa 30,000 nadhani
 
Mpapaso wa mbaliii.. 😂😂
 
Back
Top Bottom