innocente kadono
Member
- Feb 15, 2015
- 12
- 4
nasikia dit ni wako vizuri kwenye electrical engineering, kuna ukweli kuhusu hilo. Mi pia nimechaguliwa hapo elect engWale ndugu wote mliochaguliwa DIT kwa fani mbalimbali za shahada ya kwanza mwaka 2015/2016 karibuni tufahamiane hapa.