Dar es Salaam Institute of Technology, first year!

Dar es Salaam Institute of Technology, first year!

METALFULBRICATOR

Senior Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
131
Reaction score
29
Wale ndugu wote mliochaguliwa DIT kwa fani mbalimbali za shahada ya kwanza mwaka 2015/2016 karibuni tufahamiane hapa.
 
Laboratory Technology wakuu kuanzia tarehe 31 ndani ya nyumba
 
Karibu mkuu nipo hapa miaka mitatu iliyopita na bado nipo niulize km una chochote
 
Angalia profile yko. Krbn vijana mpige shule na mjifunze maisha..
 
Walimu wazinguaji,modules kibao kwa semester,Theory kibao kuliko practicals……Kikubwa na kibaya zaidi unaweza ukagraduate hujui chochote!!Kwenye suala la ajira ndio sitaki kuzungumza kabisa.

Hapo kweny modules umenena
Inabd vjana wajipange sana
 
Walimu wazinguaji,modules kibao kwa semester,Theory kibao kuliko practicals……Kikubwa na kibaya zaidi unaweza ukagraduate hujui chochote!!Kwenye suala la ajira ndio sitaki kuzungumza kabisa.

Nilisoma hapo D.I.T. na yote uliyoyaandika ni ya kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom