Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Kwa masomo ya sayansi ishakula kwangu. Hakuna foundation course?
Foundation course yenyewe ilikuwa lazima upate D ya masomo ya science zote. DIT sio mchezo mchezo usije ukamwona mwanafunzi wa DIT anatembea na Kandambili POSTA washavurugwa ila naona siku hzi kuna mashalobalo DIT wagumu wamepungua sana maana kipind cha nyuma DIT MWAMASU alikuwa anatoka MWANZA na nguo 4(suruali 2 na shrt 2) anasurvive nazo mpaka semister inaisha. Kupigwa SUPP 8 jambo la kawaida sana
 
Nimeingia kwenye website yao. Very, very shallow, inazidiwa hata na website za baadhi ya Vocational Training Centers! Hakuna cha prospectus wala nini, hiyo Prospectus itakuwa shughli kuipata!
unatania wewe..rudi tena kacheki iyo web apana chezea wazee wa engineering
 
Hahaha Mwamasu hua wana mambo ya ajabu sana aisee, siku hizi mpaka serikali ya wanafunzi wanaongoza wao
 
Kwa wale applicants wa masters dirisha liko wazi kwa,
1.master of engineering in maintenance management
2.master of computational science and engineering
3.master of engineering in suistanable energy engineering.
 
Ushahidi
 
Kwa wale applicants wa masters dirisha liko wazi kwa,
1.master of engineering in maintenance management
2.master of computational science and engineering
3.master of engineering in suistanable energy engineering.
Hii namba 3 imeanza lini tena? Kuna haja Dit yetu waanzishe masters za highway na structural Engineering
 
Hi Wadau, Samahani, Naomba Mnieleze Kuhusu Hii Kozi BACHELOR OF LABORATORY SCIENCE AND TECHNOLOGY ya hapo DIT inahusu nini hasa, maana nimechaguliwa kusoma hiyo lakini sijaijua vizuri.
 
Naomba kuuliza wakuu ivi kozi gani kat ya computer eng na civil eng ipo ni best na ina sokoo kubwa kwa sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…