Ni kweli ila kiswahili kimetohoa hayo maneno hivo hayapo kama yalivo kwa kiarabu yanatamkwa kibantu. Dar es Salaam imabaki kiarabu kabisa tofauti na maneno ya kiswahili yenye asili ya kiarabu.Unasahau hata kiswahili unachokizungumza kina percent ya lugha ya kiarabu so km vp ungekuwa unaongea "kibantu" cha kwenu tu maana ndo utakuwa unatunza mila zenu.
Bro kasome vizuri historia ya kiswahili na historia ya neno "dar es salaam" kwa kifupi kwenye kiarabu hakuna kitu "es" kuna "el" sasa ukisema dar es salaam ni kiarabu pure utakuwa umewapoteza wandugu humu.Ni kweli ila kiswahili kimetohoa hayo maneno hivo hayapo kama yalivo kwa kiarabu yanatamkwa kibantu. Dar es Salaam imabaki kiarabu kabisa tofauti na maneno ya kiswahili yenye asili ya kiarabu.
Lingekua Washington usinge sema libadirishwe kinacho kusumbua hapo ni roho mbaya ya ugalatia unashindwa kuangalia nini maana ya jina la dar es laaam sema sasa na ikulu ivunjwe kwa sababu imejengwa na waarabuHabari wakuu. Hili jina ni la jiji kubwa kuliko yote nchini chakushangaza ni la kiarabu wakati nchi ni ya kiafrika tena wabantu.
Kwakweli ili kulinda utambulisho wetu napendekeza jina libadirishwe liwe la kibantu kama mikoa mingine tena la kizaramo kabisa.
Haiingiii akilini kuwa na jina la kiarabu kwa mji wetu huu wa kibiashara.
Labda utueleze why kuna es badala ya el?? Why tupate mikanganyiko isiyo ya lazmaBro kasome vizuri historia ya kiswahili na historia ya neno "dar es salaam" kwa kifupi kwenye kiarabu hakuna kitu "es" kuna "el" sasa ukisema dar es salaam ni kiarabu pure utakuwa umewapoteza wandugu humu.
Ndugu yangu sio vizuri kuingiza udini kwenye hii mada. By the way wakati wa utawala wa wajerumani baadhi ya mikoa ilikua ina majina ya kijerumani ila baadae ilikuja kubadirishwaLingekua Washington usinge sema libadirishwe kinacho kusumbua hapo ni roho mbaya ya ugalatia unashindwa kuangalia nini maana ya jina la dar es laaam sema sasa na ikulu ivunjwe kwa sababu imejengwa na waarabu
Huyu mtoa mada anachuki kashindwa tu kufungukaNdugu yangu sio vizuri kuingiza udini kwenye hii mada. By the way wakati wa utawala wa wajerumani baadhi ya mikoa ilikua ina majina ya kijerumani ila baadae ilikuja kubadirishwa
Sijaona chuki hapo! Tatizo umekariri kila kinachokukera kinalenga dini yako..pambana na hali yako mkuu.Huyu mtoa mada anachuki kashindwa tu kufunguka
Kwan ww unaitwa nan kwann usianze we kubadililako mbaguzi mkubwaHabari wakuu. Hili jina ni la jiji kubwa kuliko yote nchini chakushangaza ni la kiarabu wakati nchi ni ya kiafrika tena wabantu.
Kwakweli ili kulinda utambulisho wetu napendekeza jina libadirishwe liwe la kibantu kama mikoa mingine tena la kizaramo kabisa.
Haiingiii akilini kuwa na jina la kiarabu kwa mji wetu huu wa kibiashara.
Ukipenda liite Mzizima kwani ulikataliwa !
ikulu haijajengwa na waarabu, kisha uarabu si uislamu binafsi sipendi kabisa kubadilishwa hilo jina.Lingekua Washington usinge sema libadirishwe kinacho kusumbua hapo ni roho mbaya ya ugalatia unashindwa kuangalia nini maana ya jina la dar es laaam sema sasa na ikulu ivunjwe kwa sababu imejengwa na waarabu