Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama maji hakuna mheshimiwa Kyabu, Kunywa bia.
Hii ndiyo nchi yetu, na Daslam ndo mji mkuu wa kibiashara.
Kukosekana kwa maji, umeme na vitu kama hivyo ndiyo vivutio kwa wawekezaji.
afadhali yenu nyinyi ambao hata maji mnapata mimi sijawahi kuona maji bombani kwangu na majuzi tu walikuja kunifungia bomba wenyewe wanasema la mchina lakini kavu vilevile. Hii ndio tanzania na miaka 50 ya uhuru no maji wala umeme wa uhakikakwangu siku ya nne leo mkuu..
Babu ndio unaponifanya nione busara zako. Ushauri wa haraka wa kutatua tatizo la kukosekana kwa maji. Kyab zingatia.
Taarifa ilitoka kuwa yatakatika hadi j2 then j3 yatatoka. But hadi sasa hv ninapoandika hii coment hayajatoka. Dar ni mji wa kijinga sana na wananchi wake wanajifanya wapo bize na maisha bila kujali mahitaji muhimu. Kama mji huu ungekuwa na raia makini na wapambanaji basi kuikombo nchi hii kutoka kwa mafisadi ingekuwa kazi rahisi mno!
Aisee kumbe na ww umeliona hilo?Kwa nini msiandamane mpaka kieleweke?
Alafu watu wa Dar wanavyopenda kujifanya sophisticated wakienda mikoani! Utadhani wanaishi mbinguni. Lakini sijaona mji wa kipumbavu kama Dar. Maji shida, vumbi kibao, foleni! Its a fu*** joke of a city!
Taarifa ilitoka kuwa yatakatika hadi j2 then j3 yatatoka. But hadi sasa hv ninapoandika hii coment hayajatoka. Dar ni mji wa kijinga sana na wananchi wake wanajifanya wapo bize na maisha bila kujali mahitaji muhimu. Kama mji huu ungekuwa na raia makini na wapambanaji basi kuikombo nchi hii kutoka kwa mafisadi ingekuwa kazi rahisi mno!
Kama maji hakuna mheshimiwa Kyabu, Kunywa bia.
Hii ndiyo nchi yetu, na Daslam ndo mji mkuu wa kibiashara.
Kukosekana kwa maji, umeme na vitu kama hivyo ndiyo vivutio kwa wawekezaji.
WanaJamii,
Mnaweza kunisaidia taarifa yoyote ambayo DAWASA waitoa kuhusu ukosekanaji wa MAJI katika Jiji la Dar es Salaam?
Ni siku ya tatu leo naona mabomba yako kimya!!!