Kama hutaki stress na mpenzi wa huduma nzuri panda kati ya hizi:-
-BM
-EXTRA
-MARANGU
-KILIMANJARO
-DAR LUX
Kama unaharaka sana panda kati ya hizi
-Dar express (ya nairobi au karatu)
Kama ww niwale wa "bora nifike"
-Kapricon
-buffalo
-kidia
-tahmeed
-Mbazi
-Osaka
Ila kama ww ni mpenzi wa bei chee na hujali mda wa kufika (Hata kesho yake) chukua chuma hii:-
-Saibaba