Hili la free WIFE na mimi itabidi nisafiri nalo!Liendalo mwendo mzuri bila haraka + huduma nzuri +Nyimbo za dini =KILIMANJARO
mwendo wa wastani + huduma nzuri +Nyimbo za dini=Dar Express
Usafi ndani na huduma nzuri + free wife =DAR LuX
bei ya kawaida + huduma kawaida+Katooni = Ngorika/Buff
bei ya kawaida + huduma kawaida+video za bongo movie=
NB: .....Chamsingi Ufike Salamaa....hayo mengine Mipango ya Mungu
abisaKilimanjaro,kidia one
Kitu ni Marangu BusHabari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
Kitu ni Marangu Bus
Marangu coachHabari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
Marangu Coach,hutajutaHabari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
Habari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
Ivi Kuna tahmeed ya dar Arusha
Nahisi ipo, 'farasi wa jangwani' gari zile ziko poa.
NAHISI IPO, kama haipo achukue zinazotoka Nairobi.
Asante kwa ufafanuzi wa uhakika.Ipo mdau ile zhongtong imeandikwa dar nairobi kwa sasa inapiga dar chuga
Habari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwenda ameenda safarini kunya?
Mara ya kwanza kutoka Arusha nilipanda Saibaba nilijuta siitaki Tena Ni kimeo kabisa inatembea Kama bajajHapana usimshauri mtu vitu visivyo vizuri
Nakuunga mkono hoja. Dar express ya Nairobi inakuwa ya kwanza kufika Moshi au Arusha.ipo
Bus ni Dar Luxy
Ila ukitaka fika haraka na kwa usalama panda Dar express
Huyo mke wa bure anakuwa ashalipiwa mahari ?Free wife.
Hilo ni zuri.