Dar-Arusha kwa basi

josephwaara

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
304
Reaction score
641
Habari zenu waungwana, samahani kwa usumbufu, naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa safari za dar-arusha ni basi gani luxury sana, nataka nimsafirishe mtu ambaye afya yake ni dhaifu kidogo.
 
Liendalo mwendo mzuri bila haraka + huduma nzuri +Nyimbo za dini =KILIMANJARO

mwendo wa wastani + huduma nzuri +Nyimbo za dini=Dar Express

Usafi ndani na huduma nzuri + free wife =DAR LuX

bei ya kawaida + huduma kawaida+Katooni = Ngorika/Buff

bei ya kawaida + huduma kawaida+video za bongo movie=

NB: .....Chamsingi Ufike Salamaa....hayo mengine Mipango ya Mungu
 
Hizo nyimbo ni za dini ipi. Maana huwa sipendi kusafiri huku nyimbo za dini zikipigwa na wakati kuna watu wa dini mbalimbali mle.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mount Meru Hotel?
hotel alingeeee!!!!, ni hospital mzee, maaana ile gari unavyoruka ikiingia kwenye shimo unafika mwisho wa safari viungo vyote huko ndani kuanzia tumbo, figo, firigisi, maini, moyo mpk roho vinahamia shingoni, kwaio inabidi uende moja kwa moja hospital wakaanze kazi ya uumbaji upya tena, hapo sijazungumzia huko chini kibiti.... Km kutakua salama, maana Kila ikiinhia kwenye shimo/tuta lazima uende juu ukishuka km hujaachia gogo shukuru.
 
Free wife.
Hilo ni zuri.
 
Mbona saibaba ipo poa tu aisee...

labda wana gari mbovu na nzuri.... nilipanda april kwenda moshi tulitoka saa 3 ubungo saa 11 nilikuwa moshi.
Shukuru Mungu Haikuharibika njiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…