Dar: Amuua mkewe kwa kitu chenye ncha kali, atokomea kusikojulikana

Side alisifiwa sana na wanaume wengi.Waliona dawa ya kumdhibiti mwanamke pisi kali akizingua,ni risasi.Sasa wengine hawana risasi.
 
Kwa imani yangu sorry watakao kwazika.
Namuomba Mama Maria Mtakatifu malkia wa amani atuombee kwa mwanae Yesu Kristo amani katika jamii yetu, awambee pia wakina mama, dada, na wasichana wote waishi maadili yawapasayo nasi wanaume tuwe kweli vichwa katika jamii. MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU UTOMBEE.
 
Matukio yanazidi sana mkuu, baada ya swalha kupigwa risasi, kuna dada yetu mmoja huko kusini akajibu mashambulizi akachomoa korodani moja la baharia mwenzetu, tukawapa siku chache hivi, mwamba mmoja huko dar akaona isiwe kesi kamlima mke wake huko dar. Nikama movie ila inasikitisha sanaa
Na- imagine kama angemtupia paka akaila, kisha(baada ya kumaliza) kujilamba-lamba na kaulimi kake! Miauuu!!!
 
Ni kweli suluhisho ni kuachana, nadhani process ya kuachana ni ngumu sana kwa wengi si jambo rahisi, pia unajua mtu mpaka achukue hatua mbaya kama hizi, unakuta ana kinyongo kikubwa na mwenza wake, kwamba ile swala la tuvumiliane mwingine anavumilia huku anakusanya matukio tuu badala ya kuvumilia na kusamehe, mwisho wa siku uvumilivu ukimshinda akikumbuka na ya nyuma lazima apusue bomu.
Process za kuachana ni ngumu kivipi,we akikushinda beba mapumbu yako ondoka
 
MWANAUME KABLA YA KUFIKIA HATUA ZA KUFANYA UNYAMA, NI KWAMBA ALIAANZA KUPITIA MATESO YA HISIA KUTOKA KWA MKE WAKE. INAFIKA SEHEMU ANASHINDWA KUHIMILI, ANAFANYA YA KUYAFANYA!

WALE WATU WA HARAKAZI ZA MWANAMKE, SASA KAZI WAMEPATA.
KAZI YAO NI MPAKA TUKIO LIFANYIKE

KWA WENYE AKILI, INATAKIWA UFANYIKE UTAFITI KUPITIA MATUKIO MACHACHE YALIO TOKEA.
KAENI NA WATUHUMIWA AU WAFUNGWA WA MATUKIO HAYA. SIKILIZE YALIYO KUWA UPANDE WAO. KUWA WATUHUMIWA/WAFUNGWA HAINA MAANA WAO PEKEE NDIO WAKOSAJI.KUNA TAARIFA ZINAWEZA SAIDIA WATU WENGINE KWENYE NDOA ZAO.

LAZIMA KUWEPO NA TAARIFA ZA UPANDE WA PILI, KWANI KWENYE NDOA ZA MIAKA HII MWANAUME NI MKOSEFU SIKU ZOTE, NA MWANAMKE NI MTAKATIFU. NA KAMA NI MAKOSA YAKE BASI INAONEKANA NI UDHAIFU WA MWANAMKE WENYE KUHALALISHWA NA MANENO KAMA SIJUI "TUISHIA NAO KWA AKILI' SIJUI NIN NA NINI

#AU BASI NA TUNGALIE UWEZEKANO WA NDOA ZA MIKATABA. HIZI SIO ZAMA ZA "MPAKA KIFO KITUTENGANISHE"
 
Sasa ukiona mroro wa mtu amekushinda shi umuache....why umng'ang'anie badi kufikia mauaji ya namna hii?
 
Sasa ukiona mroro wa mtu amekushinda shi umuache....why umng'ang'anie badi kufikia mauaji ya namna hii?
TUSIMAME KWENYE UKWELI, USHABIKI NA HARAKATI TUWEKE PEMBENI KWA MUDA.

HIVI UNAFIKIRIA MWANAUME ANAOA MKE, MTOTO WA MTU KWENDA KUMUUA?.
 
Back
Top Bottom