Dar: Amuua mkewe kwa kitu chenye ncha kali, atokomea kusikojulikana

TOKA WANAWAKE WAJUE KUWA MALI YOTE YA MWANAUME ALIYEWAOA WAKIACHANA NI KUGAWANA HAWANA H3SHIMA NA NDOA, imekuwa namna ya kuingiza KIPATO. Mwanaume anakereshwa ili ATOE TALAKA. HII INAIBUA ROHO YA UUAJI. DHULUMA HII WANAIPATA WANAUME NA KWA TABIA SI WALALAMIKAJI HASA NJE YA FAMILIA KWENYE HAKI NA KUISHIA KUTOA MAAMUZI KIMYA KIMYA.
 
Kwa imani yangu sorry watakao kwazika.
Namuomba Mama Maria Mtakatifu malkia wa amani atuombee kwa mwanae Yesu Kristo amani katika jamii yetu, awambee pia wakina mama, dada, na wasichana wote waishi maadili yawapasayo nasi wanaume tuwe kweli vichwa katika jamii. MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU UTOMBEE.
Amina
 
Haya matukio mmh
juzi july 1.2022,dar ,kinondoni maeneo ya mikocheni ,jamaa kaamua mkewe kwa kumchoma kisu,jamaa katmokomea
 
Mfumo Dume ulikuwa na mapungufu yake lakini atleast matukio hayakuwa mengi hivi. Bora turudi tulikokuwa. Usawa kwa jamii za kiafrika haupo
 
Back
Top Bottom