dar 2050

Ni China hiyo,hiyo foleni ilifikia km 24, ndo imeweka rekodi hadi leo
 
Labda kama tutafanikiwa luikataa ccm na kuweka chama kingine madarakani ndo tutafanikiwa kujenga barabara kama hiyo
 
yaani ikifikia huko na akili zetu za kuiba sment ya kujengea madaraja hatutakaa tuondoke makaburini.
mungu pishia mbali,peleka hukohuko kwa we4nye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…