Daniel Lema wa Safina redio

Kuna mtumishi alikuwaga pale yule jamaa alikuwa na karama kubwa haswa? Kiasi kwamba alikuwa anawafunika wenzake ..gafla kapotea nikaja sikia walimtoaga dah tangu siku hiyo siskizagi Tena hiyo redio.
Saiv Ana huduma yake kule Moshono. Nina nimesahahu
Anaitwa Luka, anajaza nyomi hapo kwake, yaani hii nayo ni sanaa kama sanaa nyinginezo za mazingaombwe, mieleka, ngumi, Bongo fleva na siasa.
 
Hivi ni Daniel limo au Daniel lema?

Jamaa wako vizuri katika kukusanya kile kidogo cha waumini
Huyu kiongozi wa hii huduma kwa kweli sauti yake inanibariki mno hasa kile kipindi chake mida ya saa saba mchana.

Nasikia sasa hivi amekuwa mzee sana vijana ndo wanapiga kazi ya injili kwenye mahubiri.
Huyo Mzee alifanya kazi TBL na alikuwa Mlevi mnoo, sins uhakika kama ameacha ulevi wa kupindukia

Ila hilo ni lake mwenyewe, tatizo kubwa linalokuja ni kuwa SAFINA RADIO imekuwa ni mahala pa kufilisi waumini wake ambao wengi ni wamama wenye kipato kidogo sana

Imagine eti wanauza maji ya kawaida tu kisa wameweka tag ya Safina Radio.

Mara wanawauzi watu kalamu wanasema imetoka Israel kwahiyo ukiandikia inakuwa na baraka kuliko kalamu zingine.

Yaani wameshawafanya waumini ni wajinga sana.

Sasahivi wanauza kila kitu yaani wakati imeandikwa

''Mmepewa bure, toeni bure'' ile ni huduma lakini kwao ni MRADI.

Ni wapi Yesu Kristo alihudumia watu kwa pesa au aliuza chochote katika huduma?

SAFINA RADIO kwakweli imekuwa ni mradi wa kuibia watu pesa kwa jina la huduma ya kiroho.
 
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.

Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao

Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
Ile familia imekuwa ni ya Utapeli na Unyonyaji haswa

Yule Mke wake anaingiza pesa nyingi kupitia bodi ya Utalii ya Israel kwa kuwa ni Agent na mpiga debe wa watu kutembelea Israel

Anapata percent kwenye ndege zinazotumika, hotel za Israel na katika bodi ya utalii kule

Kama unamfahamu MWABUKUSI aliyefanya nao kazi muda mrefu atakupa A-Z juu ya familia hii.

Kwakweli hawana huruma hawa.
 
Sasahivi huduma kama ya kwao imeanzishwa pale Kaloleni, sasa SAFINA RADIO wamechukia kweli...!

Sasa kama lengo ni kuwahubiria watu habari njema Ili wamfahamu Mungu na kuingia mbinguni si walipaswa wafurahie kuwapata wenzao wanaowasaidia kazi?

Wanajenga Nyumba moja wao ni wajenzi, kuna haja gani ya kugombania fito?

Yaani mahubiri yao sikuhizi lazima wawaponde hawa wa Kaloleni Pentekoste.
 
Ile familia imekuwa ni ya Utapeli na Unyonyaji haswa

Yule Mke wake anaingiza pesa nyingi kupitia bodi ya Utalii ya Israel kwa kuwa ni Agent na mpiga debe wa watu kutembelea Israel

Anapata percent kwenye ndege zinazotumika, hotel za Israel na katika bodi ya utalii kule

Kama unamfahamu MWABUKUSI aliyefanya nao kazi muda mrefu atakupa A-Z juu ya familia hii.

Kwakweli hawana huruma hawa.
Acha roho mbaya utakufa maskini bure wewe
 
Huyo Mzee alifanya kazi TBL na alikuwa Mlevi mnoo, sins uhakika kama ameacha ulevi wa kupindukia

Ila hilo ni lake mwenyewe, tatizo kubwa linalokuja ni kuwa SAFINA RADIO imekuwa ni mahala pa kufilisi waumini wake ambao wengi ni wamama wenye kipato kidogo sana

Imagine eti wanauza maji ya kawaida tu kisa wameweka tag ya Safina Radio.

Mara wanawauzi watu kalamu wanasema imetoka Israel kwahiyo ukiandikia inakuwa na baraka kuliko kalamu zingine.

Yaani wameshawafanya waumini ni wajinga sana.

Sasahivi wanauza kila kitu yaani wakati imeandikwa

''Mmepewa bure, toeni bure'' ile ni huduma lakini kwao ni MRADI.

Ni wapi Yesu Kristo alihudumia watu kwa pesa au aliuza chochote katika huduma?

SAFINA RADIO kwakweli imekuwa ni mradi wa kuibia watu pesa kwa jina la huduma ya kiroho.
ungekaa kimya nakuhakikishia ingekuletea heshima zaidi kuliko ulivyoandika maana ukweli ni kuwa hakuna ambaye ni mtoto anayeenda kununua vile vitu ni watu wazima wenye akili zao na utashi na hawajalazimishwa na mtu yeyote wakati mwingine kabla hujaandika jambo jiulize mara mbilimbili hili ninalotaka kulizungumza lina impact gani kwa watu maana itakusaidia au basi hakikisha una uwakika wa unachotaka kukisema ubarikiwe
 
Ile familia imekuwa ni ya Utapeli na Unyonyaji haswa

Yule Mke wake anaingiza pesa nyingi kupitia bodi ya Utalii ya Israel kwa kuwa ni Agent na mpiga debe wa watu kutembelea Israel

Anapata percent kwenye ndege zinazotumika, hotel za Israel na katika bodi ya utalii kule

Kama unamfahamu MWABUKUSI aliyefanya nao kazi muda mrefu atakupa A-Z juu ya familia hii.

Kwakweli hawana huruma hawa.
Dah kumbe yule mama janja janja nyingi anapiga ela na bado anawakamua wakina mama kea kuwauzia maji Mara chumvi wanapiga pesa aise dah ..huu mchongo wa kuitangaza Israel kumbe hadi wnye nchi yao Israel wanautambua. Kuna wakati na mwakasege na yeye alikuwa anapigia chapuo Israel kumbe ni madili wanapiga
 
Anaitwa Luka, anajaza nyomi hapo kwake, yaani hii nayo ni sanaa kama sanaa nyinginezo za mazingaombwe, mieleka, ngumi, Bongo fleva na siasa.
Asee hata kama ni Sanaa basi yule jamaa hata mim alinishika aise ..ila tangu amesepaga siskizagi tena iyo radio ..
 
Back
Top Bottom