Daniel Lema wa Safina redio

huyo mzee sijawahi kumuelewa hata siku amezeeka kiasi kwamba huwa anasahau hata nini ameongea yupo kama mzee mwinyi

mke wake nae ni hbr za israel tu kwa kwenda mbele yaani full majanga
Mwanaume unavutiwa na sauti ya mwanaume mwenzio!!!!!
wacha niingize gari getini kwanza
 
Kuna mtumishi alikuwaga pale yule jamaa alikuwa na karama kubwa haswa? Kiasi kwamba alikuwa anawafunika wenzake ..gafla kapotea nikaja sikia walimtoaga dah tangu siku hiyo siskizagi Tena hiyo redio.
Saiv Ana huduma yake kule Moshono. Nina nimesahahu
Ndo alivyosema? Km aliondoka sbb walimtoa?
Mnajua Mungu anavyofanya kazi?
Kuna mahali unakuwa hapo ili ufundishwe,ukue halafu kuna wakati Mungu anakupa maelekezo utoke uende ukaanze alichoweka ndani yako!
Sio wote wanatakiwa kuwa pale,wapo na wengine watatoka wawe na huduma zao ili na wengine wakue!ss walioanza wakibaki pale wengine watakuaje?
Kila mmoja ana cha kwake hakuna anaemzidi mwingine;issue ni kujua umeitwa kwenye eneo gani na kukaa hapo!
Ambacho hamuelewi ni 'spiritual level' ndo zinatofautiana kulingana na mahusiano aliyonayo mtu na Mungu!
Maneno ya kusikia yana najisi sn kuweni makini!
 
Aisee hivi shilingi mia 5,elf moja ndio ghali?
Jmn kabla hamjaongea vitu muwe mna uhakika navyo!
Ushauri tu!
Vichupa vya zeituni pale nje vinauzwa Tsh 1,000, ukiingia getini pale safina vinauzwa Tsh 2,000.
Maji madogo nje ni Tsh 500 ila hatua chache ukiingia getini wanauza Tsh 1,000.

Bado hujaona tofauti?
Yani bidhaa inapanda bei kwa asilimia 100% ukishaingia ndani alafu unajifanya huoni huo ufisadi.

Napendekeza serikali iwe na vijana wao wa TRA pale kwaajili ya kukusanya mapato.
 
Kuna mtumishi alikuwaga pale yule jamaa alikuwa na karama kubwa haswa? Kiasi kwamba alikuwa anawafunika wenzake ..gafla kapotea nikaja sikia walimtoaga dah tangu siku hiyo siskizagi Tena hiyo redio.
Saiv Ana huduma yake kule Moshono. Nina nimesahahu
Anaitwa Lukas. Na kuna Otieno sijui yako bado
 
L
Kuna mtumishi alikuwaga pale yule jamaa alikuwa na karama kubwa haswa? Kiasi kwamba alikuwa anawafunika wenzake ..gafla kapotea nikaja sikia walimtoaga dah tangu siku hiyo siskizagi Tena hiyo redio.
Saiv Ana huduma yake kule Moshono. Nina nimesahahu
Lucas mwaliema
 
Ndo alivyosema? Km aliondoka sbb walimtoa?
Mnajua Mungu anavyofanya kazi?
Kuna mahali unakuwa hapo ili ufundishwe,ukue halafu kuna wakati Mungu anakupa maelekezo utoke uende ukaanze alichoweka ndani yako!
Sio wote wanatakiwa kuwa pale,wapo na wengine watatoka wawe na huduma zao ili na wengine wakue!ss walioanza wakibaki pale wengine watakuaje?
Kila mmoja ana cha kwake hakuna anaemzidi mwingine;issue ni kujua umeitwa kwenye eneo gani na kukaa hapo!
Ambacho hamuelewi ni 'spiritual level' ndo zinatofautiana kulingana na mahusiano aliyonayo mtu na Mungu!
Maneno ya kusikia yana najisi sn kuweni makini!
Wewe ni mfanyakazi wa safina mkuu? Upo kitengo gani?
 
Hivi ni Daniel limo au Daniel lema?

Jamaa wako vizuri katika kukusanya kile kidogo cha waumini 😊
Mbona huongelei wanaopata uponyaji.Na kila mtu anaenda pale KWA hiari.

Mkuu nikuambie hujapata shida ukamaliza hela zote na rasilimali zako,ukapita hospital kubwa kwa ndogo,ukaenda kwa waganga wa kienyeji huoni nafuu.UKAJA KUPATA MAOMBEZI YA NUSU SAA TU,AU WIKI,AU MWEZI NA SHIDA ZOTE KM NI UGONJWA UKATOWEKA.

Wanaoenda pale wengi wanajua walikuwaje ,wametoka wapi.Walipitia majaribu gani.ONGEA SHIT LKN HUJAPITIA MAGUMU.
 
Sawa mkuu
 
Vichupa vya zeituni pale nje vinauzwa Tsh 1,000, ukiingia getini pale safina vinauzwa Tsh 2,000.
Maji madogo nje ni Tsh 500 ila hatua chache ukiingia getini wanauza Tsh 1,000.

Bado hujaona tofauti?
Yani bidhaa inapanda bei kwa asilimia 100% ukishaingia ndani alafu unajifanya huoni huo ufisadi.

Napendekeza serikali iwe na vijana wao wa TRA pale kwaajili ya kukusanya mapato.
Nenda ofisi zao kabisa pale Arusha ukashitaki...tutanunua hata wakiuza 2,000 nusu litre ya maji na haiumi. Na sisi ndiyo tunaloga kihivyo kama mnavyologa kwa waganga....
 
Vichupa vya zeituni pale nje vinauzwa Tsh 1,000, ukiingia getini pale safina vinauzwa Tsh 2,000.
Maji madogo nje ni Tsh 500 ila hatua chache ukiingia getini wanauza Tsh 1,000.

Bado hujaona tofauti?
Yani bidhaa inapanda bei kwa asilimia 100% ukishaingia ndani alafu unajifanya huoni huo ufisadi.

Napendekeza serikali iwe na vijana wao wa TRA pale kwaajili ya kukusanya mapato.
Yani umuweke mtu pale akusanye vikodi vya maji ya 1000? Wakati migodini kuna mabilioni yanapotea?
 
Huyu kiongozi wa hii huduma kwa kweli sauti yake inanibariki mno hasa kile kipindi chake mida ya saa saba mchana.

Nasikia sasa hivi amekuwa mzee sana vijana ndo wanapiga kazi ya injili kwenye mahubiri.
Hajazeeka kapigwa na stroke kitambo,ila kashindwa kujiponya kwa maombi...huwezi kula sadaka kwa kumtumia mungu lazima akupe kelbu mzito kama mwendazake
 
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.

Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao

Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
Familia imejaa wasanii na wapigaji
 
Back
Top Bottom