Daniel Kabisi Afariki Dunia

SHY weka hadharani hoja hiyo maana kama alikuwemo au la? Na je LLM ni nani mlipaji wake? Au wamemkolimba hukohuko au? Maana ndg Shy huwezi kutuuma sikio siku ambayo watu wengi wanazungumzia EPA au Mungu amchukue ktk msimu huo !!! Tunataka tuuone ukweli wako.
 
shy Weka Hadharani Hoja Hiyo Maana Kama Alikuwemo Au La? Na Je Llm Ni Nani Mlipaji Wake? Au Wamemkolimba Hukohuko Au? Maana Ndg Shy Huwezi Kutuuma Sikio Siku Ambayo Watu Wengi Wanazungumzia Epa Au Mungu Amchukue Ktk Msimu Huo !!! Tunataka Tuuone Ukweli Wako.

Fdr,jr Dont Mind Him Shy Huyo Anamatatizo Nadhani Kuna Nati Zimelegea Zaidi Alikosa Maziwa Ya Mama ,kabisi Wapi Na Wapi Na Pesa Za Epa
 
Acheni mzaha. kama mtu humfahamu na amefariki huna sababu ya kumfanyia mzaha. Amefariki na amezikwa week end hii iliyopita huko kwao Kibara Bunda mkoani mara.
 
Back
Top Bottom