Huyu anakijua sana chama.na chama kiko damuni toka zamani.kumbe ccm wanawajua walio wa kwaoDANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho
Kwa sasa, Chongolo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar.
Kumbe jamaa mzoefu kwenye Chama.DANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
Wewe nae unapinga tuu bila hoja. Uliitaka hiyo nafasi?Napinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasi
Hapa ndiyo namkumbuka marehemu Ruge mutahaba alipotamka kuwa "ogopa Mungu na teknolojia " , Sasa kazi iliyobaki ni kuumbuka. Aidha JK alishawahi kuwaasa viongozi kuacha kuwanyanyasa na kuwadharirisha wenzao sababu huwezi jua kesho watakuwa nani!, Makonda nafikiri amepata funzo kwa ujinga wakeWacheni Mungu aitwe Mungu,Makonda aliwahi kumkoromea vibaya sana huyu jamaa, sasa leo hii Makonda alitaka kumuona lazima aombe appointment.View attachment 1769200
CCM ya zamani wanawajua wote walio wa kwao, ya Mwendazake ndio ilikuwa ikichukia watu huku na kule kuwaleta chamani. Leo tuko na raha tele!Huyu anakijua sana chama.na chama kiko damuni toka zamani.kumbe ccm wanawajua walio wa kwao
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aisee hii dunia bana tuishi kwa amani kesho yetu hatuijui...sasa huyu jamaa kwa cheo chake anaweza akafukuza Bashite Chamani
kwani Bashiru Ally Kakurwa anasemaje?Mshikaji amekulia eneo fulani linaitwa Twico kwenye kiwanda cha mbao cha Sao hill- Mafinga.
Ametoka kwenye media akiwa mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru. Amejitahidi kutatua changamoto za ardhi akiwa Longido kbl ya kuhamishiwa Dar.
Yupo humble, si mtu wa majidai, mwenye uwezo fulani wa kutatua changamoto.
Tukiondoa ujuaji uliopo CCM kwamba wapo wenye CCM yao dogo anaweza kumudu!
KILA LA KHERI
AsanteNinachojua mwaka 1999 - 2001 alisoma elimu ya kidato cha V - VI katika shule ya sekondsri Mafinga sasa hivi inaitwa JJ Mungai! Kabla ya kuja kinondoni alikuwa Longido!
Hallelujah!!!!!Nikiangakia hii clip yaani mtu mzima unadhihakiwa mbele ya camera. Mke na Watoto wanakuona na ndugu na marafiki. Achilia mbali dunia nzima. Kila kiongozi alijiona Mungu mtu katika kiti chake kuanzia wa kisiasa hata wale watendaji kwenye Taasisi. Haya yote wakichukua kwa baba yao.
Watanzania huu siyo utamaduni wetu.
Hakika Mungu alisikia masononeko yetu. Mungu akaamua iwe kweli tena kwelikweli. Au nasema uongo ndugu zanguni? Hebu piga kelele za Shangwe kwa Mungu.
Kwanin unapinga? We una fikiri nani anastahili hapo na kwaninMimi nilipinga uteuzi wa Bashiru Ally waziwazi na humu na napinga uteuzi wa chongolo sio sahihi kabisa .Let every body take note
Wacha hiyo ............ Mwenywewe Polepole anayaita ma V80 ......!!Naye atatembelea V8
Nalog off
Shida Chadema alivyo ondoka Balozi Dr. Slaa wakasema hakuwa na umuhimu wowote kumbe ndo wanapotezaga watu muhimu .Ni nyumbu tu atakayebaki chadema
Sababu ya upepo wa Lissu, vinginevyo angepewa kugombea. Kwani kwa Lowassa ilikuaje?Nyalandu alikuwa outsider ndiyo maana tulimnyima kura kugombea Urais. Chadema ipo tena ipo sana. Kwa mataahira tu ndiyo wanaona kama wewe