Ndugu, kama humjui Chongolo ungekaa kimya.YEHODAYA said:
Vetting ya CCM iliyopo ni ya kufa mtu kwa sasa Samia ameshika system ya serikali na Chama cheap politics has no room huyo chongolo kwenye system ni nani hopeless kabisa.
——————
Tulia dawa iwaingie.
Unapopinga bila kutoa sababu unaonekana ni WIVU tu unaokusumbua.Napinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasi
DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho
Kwa sasa, Chongolo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar.
Bavicha wanayumba sana,hawana pakushika.Mbona unajichanganya sana? Mara uposti kikatuni mara hivi.
Utachanganyikiwa sana! Kumbe mnaipenda ccm
Umezoea kushughulikiwa eh!!Acha kupaniki wewe, ngoja mods wakushughulikie
Subiri kina Chongolo watawashughulisha sana! Naona mnawademkia mnafikiri wameteuliwa kuiua ccm na kuinua chadema?Umezoea kushughulikiwa eh!!
Wajumbe wa CC:-Tueleze sasa Mkuu wewe unayejua. Kweli sijui. Kale kakamati kadogo kanaitwaje tena? Sijui Central Commitee au nini tena? Then Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM🤣🤣🤣🤣. Mimi siyo mtaalam wa haya Mambo.
Sisi yetu ni kusema mtanikumbukaNilimpinga sana JPM, nahisi nitamkumbuka Siku sio mingi
Yehodaya;Ebu tupe Sababu za kupinga huo uteuzi wa SG w ccmNapinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasi
dah hili jina hadi nimelikumba kunakoishia lile bomba la mafuta toka hoima had pale chongoleaniDANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho
Kwa sasa, Chongolo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar.
Kunywa glass ya siki na sifongo....Napinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasi
Shukrani. Hao wa Idara na Jumuiya si anaweza kusema wachaguliwe upya au? Maana wengine tayari wapo.Wajumbe wa CC:-
1.Mwenyekiti
2. Makamu wenyeviti wawili
3. Wenyeviti wa Jumuiya
4. Wakuu wa idara
5. Makamu wa raisi
6. Spika wa bunge wawili
7. Waziri mkuu
.......
Sahihi kabisa.Mshikaji amekulia eneo fulani linaitwa Twico kwenye kiwanda cha mbao cha Sao hill- Mafinga.
Ametoka kwenye media akiwa mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru. Amejitahidi kutatua changamoto za ardhi akiwa Longido kbl ya kuhamishiwa Dar.
Yupo humble, si mtu wa majidai, mwenye uwezo fulani wa kutatua changamoto.
Tukiondoa ujuaji uliopo CCM kwamba wapo wenye CCM yao dogo anaweza kumudu!
KILA LA KHERI
Ha ha ha haHata picha hujaweka,hichi kizazi ni hovyo kabisa!
Lakini si umesema vetting iliyoko Sasa CCM ni ya kufa mtu, Sasa kama ndo kweli iko hivyo kwa nini wanateuliwa watu wasiofaa kama huyu Chongolo?! Au we muongo kuwa sio kweli kwamba vetting ya ccm Ni ya kufa mtuNapinga Chongolo hafai hiyo nafasi.Take note nilipinga Bashiru kuteuliwa na napinga Chongolo kupewa hiyo nafasi
Nikiangakia hii clip yaani mtu mzima unadhihakiwa mbele ya camera. Mke na Watoto wanakuona na ndugu na marafiki. Achilia mbali dunia nzima. Kila kiongozi alijiona Mungu mtu katika kiti chake kuanzia wa kisiasa hata wale watendaji kwenye Taasisi. Haya yote wakichukua kwa baba yao.Wacheni Mungu aitwe Mungu,Makonda aliwahi kumkoromea vibaya sana huyu jamaa, sasa leo hii Makonda alitaka kumuona lazima aombe appointment.View attachment 1769200
Wakuu wa idara si ndio hawa wameteiliwa mzee.Shukrani. Hao wa Idara na Jumuiya si anaweza kusema wachaguliwe upya au? Maana wengine tayari wapo.
Aisee hii dunia bana tuishi kwa amani kesho yetu hatuijui...sasa huyu jamaa kwa cheo chake anaweza akafukuza Bashite ChamaniWacheni Mungu aitwe Mungu,Makonda aliwahi kumkoromea vibaya sana huyu jamaa, sasa leo hii Makonda alitaka kumuona lazima aombe appointment.View attachment 1769200